Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wanaona wanapitwa hivi hivi. Uhuru kawaingiza chaka. Wanatafuta pa kutokea.Hii nchi ni ya kipuuzi sana! so wana-open up at 7000 infections in a city with no water?
Haaaaaa this [emoji117][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205] monkey sasa ni zamu yetu kusubiri wakenya wakufe kama nzige mabarabarani tuliwaambia wakabushaHii nchi ni ya kipuuzi sana! so wana-open up at 7000 infections in a city with no water?
cha moto wamekionawakenya wanapenda sana kiingereza, waliposikia lockdown wenyewe wakalipenda neno hawakujua lina madhara kwao, milofa sana kunyanland
Hiyo issue ya corona tu, Kenya wamechemka mambo mengi kwa kuwaachia wazungu wafikirie badala yao.Magonjwa Mtambuka,
Tukiacha ushabiki wa Tz VS Ke, ukweli Kenya wamechemka sana kwa 'lockdown' yao ya kuwafungia watu usiku (utadhani virus vinaambukiza usiku tu) lakini mchana wanawaacha wakichangamana kama kawaida. Ni lockdown ya kipuuzi sana, wasione aibu, wakubali tu kwamba wamechemka na wajirekebishe ili maisha yasonge.
Haha wanaitwa mabongolala🤣 🤣 Ni kama ni sisi ndo tumepoteza wabunge, viongozi na makurugenzi wa makampuni kwa "shida ya kupumua"
View attachment 1496065
Na marufuku kuja kwetu wengi wanakuja kufanya kazi holelini sasa wabaki huko huko na korona yaoHaaaaaa this [emoji117][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205] monkey sasa ni zamu yetu kusubiri wakenya wakufe kama nzige mabarabarani tuliwaambia wakabusha
Send by APOLO 1
Acha wivu wewe nyang'au.Haha wanaitwa mabongolala
Wenyewe mida ya mchana mitaani wanajidai na kujinasibu huku wakibonga kingereza " We hv lockdown in our country [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Magonjwa Mtambuka,
Wakenya wanapenda sana kiingereza, waliposikia lockdown wenyewe wakalipenda neno hawakujua lina madhara kwao, milofa sana Kenya
Haha! Acha kujifariji, kijana... Halafu jifunze kuandika vizuri, hasa matumizi ya HERUFI KUBWA unapoanza sentensi au kutaja JINA la mtu...mbona naona uzi waswahili wamejaza povuu dah!!! aiseee....😂 kenyatta ongeza lockdown! wazalendo tuko nyuma yakoo!
Wanaona wanapitwa hivi hivi. Uhuru kawaingiza chaka. Wanatafuta pa kutokea.
Hivyo eee kumbe Wakenya wanamaendeo makubwa eee!! Nahisi itakua maneno ya mtu anaekula kwao hayoKenya hata wakipigwa na Corona kiasi gani, hata kuwe na wagonjwa 2mil bado hatuwezi kufikia maendeleo yao ya ki uchumi