Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Mwishowe hawa jamaa wameamua kunyoosha mikono na kuamua kufungua kila kitu ingawa virusi vya corona vinaendelea kuwagonga. Eti sasa ndio wanaanza kusema huu ugonjwa upo kwa muda mrefu ujao, ha ha ha. Tuliwaambia wakajidai kubisha na kizungu chao cha kuombea maji.