Mwishowe Wakenya wanyoosha mikono

Mwishowe Wakenya wanyoosha mikono

Boss mbona ume panic hivo ? ninaelewa nilichosema ,mimi sio mdau wa ma picha hayo unayoongelea,mkuu una uhakika kwamba thamani ya pesa sio maendeleo ? .na kuhusu tangible things kweli mkuu huvifahamu viwanda vya kenya ? bidhaa nyingi tunazotumia ni made in Kenya kuanzia bidhaa za chakula mfano sausages nyingi hapa Tz zinatoka kenya licha ya kuwa na sisi tuna viwanda vya bidhaa hizi lakini ukweli ni kwamba viwanda vyetu vimeshindwa ku compete na vya wakenya. kwenye sekta hii ya viwanda bidhaa ni nyingi siwezi kukutajia hapa zote nakushauri tu usome bidhaa nyingi tunazotumia zimetengenezwa wapi
Ni Nani anayemiliki hivyo viwanda vya Kenya?!?
 
Back
Top Bottom