GE2025 Mwita Mwikwabe Waitara, mwisho wa enzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu bwege anaona ubunge ni birthright yake
 

Video ya zamani sana hii.
 
Hii video Ina zaidi ya miaka 2 na haihusini na mchakato wa Sasa wa uchaguzi
 
Naibu wazir aliyewahi kufundisha watoto hesabu ubaoni?
Ndiyo, ili aonekane
 
Ha
Mbali ya unafiki wake, hiyo sura imefura sababu ya utumiaji uliopitiliza wa pombe.

Nenda Moshi Bar Ukonga ukaulizie, alikuwa analewa mpaka kujikojolea. Huyo kunywa mpaka kuzima ni kawaida.

Kwakuwa???
Hapa ndo utajua Tanzania watu wengi, wamelogwa, kukosa ubunge ndo unabubujkwa na machonzi mbele ya kamera? Taifa hili wake wake wamekufa nafsi zao, ndo maana Taifa haliendelei, hawajitabui, jitu zima ,na watoto na mke,linalia, kisa ubunge? Eeeeee! Mungu tusamehe sisi, hatujui duniani tupo kwa ajili ya nn?
 
Nachojua amekatwa Ila video ya kitambo .

Ukiachana na kunywa Pombe Ila jamaa ni smart Sana kawazidi Ccm wengi Akili .

Mwambieni aache konyagi sauti itakata Kama dudu baya.
 

Video ya zamani sana hiyo.
 
Mbali ya unafiki wake, hiyo sura imefura sababu ya utumiaji uliopitiliza wa pombe.

Nenda Moshi Bar Ukonga ukaulizie, alikuwa analewa mpaka kujikojolea. Huyo kunywa mpaka kuzima ni kawaida.
Kuna mwananchi mmoja wa Ukonga alimkuta Bar anakunywa. Mwananchi akalalamika kuhusu ubovu wa barabara. Mwitta akamjibu "Barabara zitakusaidia nini wewe? We kunywa pombe hapa uondoke"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…