GE2025 Mwita Mwikwabe Waitara, mwisho wa enzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ya zamani sana hii
 
Nywele zote zimenyonyoka sababu ya kunywa mapombe,

 
Huyu Kolo vipi Tena kwanza akajiajili

pili huu uliaji mbona umekaa kikike sana, Beki zipo kweli hapo
Au Bakari nondo Mwamyeto ameshatoka.
 
Ana hofu gani mbona ukuu wa wilaya au mkoa uko njiani!?
Akikosa agombee ndani ya chama Kuna vyeo kibao asiangalie maisha kwenye angle Moja
 
Tatizo lao wakipata uongozi hawajui kuwa uongozi siyo kama aridhi ambayo inakatiwa hakimiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…