JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
Na hapo ana 250M, lakini anaona Giza mbele, kwa kutorudi bungeni, Ila kijana kutoka chuo, aside hata na ka laki, anaambiwa aende veta akajifunze kutengeneza keki,ajiajiriView attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Na huo ndio ukomo wa uelewa wake.Kuna mwananchi mmoja wa Ukonga alimkuta Bar anakunywa. Mwananchi akalalamika kuhusu ubovu wa barabara. Mwitta akamjibu "Barabara zitakusaidia nini wewe? We kunywa pombe hapa uondoke"
Kulia kama kafiwa na MamaView attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Mwanaume wa Kikurya analia kwa ajili ya CCM? Mwita Waitara ameonesha CCM inapendwa kweri kweri!View attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
Eeeh!! Kumbe,moshi bar kuleee ndani ndani au sio,hiyo bar ya muda mrefu sasaMbali ya unafiki wake, hiyo sura imefura sababu ya utumiaji uliopitiliza wa pombe.
Nenda Moshi Bar Ukonga ukaulizie, alikuwa analewa mpaka kujikojolea. Huyo kunywa mpaka kuzima ni kawaida.
Hiyo hiyo. Nenda kaulize vizuri, anajulikana vyema kabisa.Eeeh!! Kumbe,moshi bar kuleee ndani ndani au sio,hiyo bar ya muda mrefu sasa
Huyu tulishamuonya Mapema sana kwamba Shetani hana Rafiki, akatupuuza.View attachment 3403234
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitara alipata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
NO REFORMS, NO ELECTION.View attachment 3403234

Aiseee! nyumbani wamem...Huyu ni mpumbavu tu
Kule ukonga watu walimchangia mpaka sent za mwisho 2015.
Alipata ubunge kisha akawasalitiati " narudi nyumbani"ccm
Wewe ni hawara wa Waitara? Haya kanyoe mavuzi ujipake mafuta usubiri mlevi aje akuingilieHahahahaaaaa!
Mleta mada (nyumbu) anafikiri atafanana na waitara kwa namna yoyote ile........we subiri uone kama atachoka kama nyie nyumbu.