PreGE2025 Mwita: 'No Reforms, No Election' Tunayoijua haikusema tususie Uchaguzi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Demokrasia ndio inayowafanya mrudi mzungumze na katika kuzungumza mnapata jambo moja. CHADEMA ni taasisi ambayo inaongozwa na instrument's mbalimbali, lakini instrument namba moja inayoongoza ni Katiba ya CHADEMA ambayo imesajiliwa kwa Msajili wa vyama vya siasa, ndio mwongozo namba moja wa Chama cha siasa.

"Sura ya Nne ya Katiba yetu inazungumzia madhumuni ya Chama, sura ya Tano inazungumzia uanachama. Ukisoma dhumuni namba moja linatamkwa kwenye Ibara ya 4.11 inasema kuhakikisha kuwa chama chetu kinashinda chaguzi za kiserikali na kushika dola kwa njia ya kidemokrasia ili kuleta maendeleo endelevu kwa Taifa"

No reform no election ilianza mwaka 2020. Mwaka 2019 baada ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa na baada ya uchaguzi mkuu wa ndani ya Chama na chama chetu kilikutana kwenye vikao vya faragha na wakati ule baada tu ya uchaguzi mkuu kulikuwa kuna shida kidogo kwamba Makamu wetu Mwenyekiti bado alikuwa hawezi kurudi Tanzania. Alichaguliwa akiwa nje ya nchi. Tulikutana kwenye vikao vya chama Nairobi, Kenya .

"Tulikubaliana kutengeneza mpango mkakati wa mwaka mmoja wa namna ya kuuendea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Majadiliano mengi yalifanyika na tulisema twende na No reform no election, na ilieleza vitu gani vifanyike kwa hatua kwa hatua na katika hizo hatua mwisho wa siku ni lazima twende kwenye uchaguzi.

"Ukisoma mpango mkakati wa CHADEMA kuanzia 2020- 26 lengo namba Tatu ni kupambana kuhakikisha kunakuwa na maboresho ya mifumo ya kiuchaguzi ili kukiwezesha chama kushinda uchaguzi wa mwaka 2025"

"Utaona kwamba hakuna documents au mwongozo wowote wa kichama ambao unasema tuache kwenda kwenye uchaguzi au tusifanye uchaguzi. Lakini documents key mbili katiba ya Chama na mpango mkakati wa Chama hakuna sehemu imesema Chama hakitakwenda kwenye uchaguzi

G- 55 haiwavurugi watu ila watu ndio wanajivuruga, sisi tunachokizungumza ni kile ambacho alikisema Katibu Mkuu, JJ Mnyika kwenye kikao cha Mkutano mkuu kwamba pamoja na azimio la kudai mabadiliko tujiandae na uchaguzi. Na G- 55 inachotaka ni chama kiende kwenye uchaguzi"- Julius Mwita, akizungumza na CloudsMedia

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

1744135575046.png
 
Swali muhimu sana!! Kwa sababu hiyo ya kwanza wanaweza kuielezea vizuri basi watuambia hiyo No Election maana yake ni nini
Nadhani tuna Makamanda Vilaza wanaenda kujiaibisha mbele ya hadhara.😄
 
Huyu bwege naye nani amezungumza lugha ya kususia uchaguzi? Haelewi tofauti ya kuzuia na kususia, K Vant zimemharibu akili anaropoka ovyo
 
Huyu jamaa ni Mkurya wa Serengeti, Hawa Huwa ni wa kujipendekeza pendekeza ,waongo waongo .

Hivo apuuzwe , Musoma wamemkataa
 
too late! Gari la No Reforms, No Elections limeshang'oa nanga
 
Huyu jamaa ni Mkurya wa Serengeti, Hawa Huwa ni wa kujipendekeza pendekeza ,waongo waongo .

Hivo apuuzwe , Musoma wamemkataa
Kwenye jimbo lake wameshajitokeza.watia nia.wa ukweli hivyo reforms zikifanyika yeye atapigwa chini kwenye kura za maoni ameyatimba K Vant zinampeleka resi sana huyu bwege.
 
Lissu alisema atavuruga uchaguzi, na kwakweli utavurugika. Kitendo cha kusema ataandamana anapoza kauli yake, tusubiri ila Chadema hii naona iko serious kuliko ya madalali
 
Back
Top Bottom