johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naibu waziri Mwita Waitara amewaagiza Polisi kumkamata mara moja Mwenyekiti wa serikali ya mtaa kupitia Chadema aliyeuza uwanja wa shule kifisadi na kinyemela.
Waitara amesema mwenyekiti huyo tapeli wa CHADEMA ameitia aibu serikali ya awamu ya tano kwa kitendo hicho cha kiutapeli.
Naibu waziri Mwita ambaye alishatangaza kuachana na jimbo la ukonga jijini Dsm na kuhamia Tarime vijijini kwenda kumfurusha John Heche wa Chadema yuko wilayani Tarime kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.
Source : Star tv habari
Maendeleo hayana vyama!