johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapa tunazungumzia biashara ya uwanja wa shule siyo ubunge bwashee!Hivi kumbe Chadema wana mwenyekiti wa mtaa? Ngoja tuone ila na yeye aseme kwanini aliuza ubunge na kukimbilia CCM.
Zote ni Biashara tena ya Ubunge ni ya kihistoriaHapa tunazungumzia biashara ya uwanja wa shule siyo ubunge bwashee!
Hapa tunazungumzia biashara ya uwanja wa shule siyo ubunge bwashee!
Naibu waziri Mwita ambaye alishatangaza kuachana na jimbo la ukonga jijini Dsm na kuhamia Tarime vijijini kwenda kumfurusha John Heche wa Chadema yuko wilayani Tarime kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.
Source : Star tv habari
Maendeleo hayana vyama!
Kwenda huko. Penda kujibu hoja na uache kukwepakwepa kama Mwigulu NchembaHapa tunazungumzia biashara ya uwanja wa shule siyo ubunge bwashee!
Achana naye. Akili zimemruka huyo
Naona taarifa hii umeiwasirisha KISHABIKI KWELI Bwasheeee!Nainu waziri Mwita Waitara amewaagiza polisi kumkamata mara moja mwenyekiti wa serikali ya mtaa kupitia Chadema aliyeuza uwanja wa shule kifisadi na kinyemela.
Waitara amesema mwenyekiti huyo tapeli wa Chadema ameitia aibu serikali ya awamu ya tano kwa kitendo hicho cha kiutapeli.
Naibu waziri Mwita ambaye alishatangaza kuachana na jimbo la ukonga jijini Dsm na kuhamia Tarime vijijini kwenda kumfurusha John Heche wa Chadema yuko wilayani Tarime kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.
Source : Star tv habari
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaaa...........bwashee msalimie wajina Heche!Naona taarifa hii umeiwasirisha KISHABIKI KWELI Bwasheeee!
Labda hana interest!Ukonga hajaona viongozi wabadhilifu?