mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mikono ya mtoa-fomu na mpokea-fomu inazungumza yote.
Hana mvuto, usishangae dola ikambebaWaitara kajiingiza kwenye mdomo wa Chatu 🤣
🤣🤣🤣 mtoa form alikuwa na interest na picha zaidi,na muda ka mdogo vileMikono ya mtoa-fomu na mpokea-fomu inazungumza yote.
Kweli aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Mikono ya mtoa-fomu na mpokea-fomu inazungumza yote.
Asipopita Waitara,atapita nani ?Mtoa fomu amegoma kuto baraka zake.waitara hapiti kwanza haelewani na m/kiti ccm mkoa