Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mlevi akatwe tu akajiajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini asingebaki ukonga maana nilisikia ksuli ya mwenezi wa CCM kuwa majimbo ya waliohamia kutoka upinzani yasigusweKazi ipo, kakimbia Ukonga.
Utakuwa unamsema mnyika alivyobadili jimbo toka ubungo kwenda kibamba na mwaka huu kakimbia kabisaKubadili jimbo ni kudhihirisha kuwa ulishindwa kutekeleza majukumu yako vile ipasavyo...."Adui mkubwa katika vita si yule mpinzani bali ni yule mhaini/msaliti"
CCM imeshasema hawawezi kurudia mara mbili kuyabeba matakataka waliyoyanunua kutokea upinzani. Waitara ilishabebwa mara ya kwanza, sasa ni zamu yake kujibeba na kukibeba chama chake.Kwa nini asingebaki ukonga maana nilisikia ksuli ya mwenezi wa CCM kuwa majimbo ya waliohamia kutoka upinzani yasiguswe
Mbona ni kama amekataliwa tayari? Hahaha, kazi ipo.Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi- CCM kimpitishe kuwania Ubunge Tarime Vijijini Mkoa wa Mara. Mwita Waitara 2015 alikuwa Mbunge wa Ukonga kupitia CHADEMA kabla ya kuhamia CCM na kutetea kiti chake mpaka anamaliza muda wake.
Yeye si wa ukonga? Madhambi yake yatamtafnaNaibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi- CCM kimpitishe kuwania Ubunge Tarime Vijijini Mkoa wa Mara. Mwita Waitara 2015 alikuwa Mbunge wa Ukonga kupitia CHADEMA kabla ya kuhamia CCM na kutetea kiti chake mpaka anamaliza muda wake.
huyu jamaa na M-TISS katambi hovyo kabisa,Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi- CCM kimpitishe kuwania Ubunge Tarime Vijijini Mkoa wa Mara. Mwita Waitara 2015 alikuwa Mbunge wa Ukonga kupitia CHADEMA kabla ya kuhamia CCM na kutetea kiti chake mpaka anamaliza muda wake.