Atafute shule ya kufundisha.Mzee wa Kvant kimenuka. Alikula sana pipi enzi za bwana yule.
Chama kikimtaka wadau hamna namna.Sisi wa Bumbuli hatumtaki Makamba, Kama Kuna anaye mhitaji amchukue Bure.
Tanzania hii Barbara mbovu kuliko zote ni Ile ya Soni Bumbuli
HahahahaaaaaaWakimuacha anweza kulia Toka Tarime mpaka Dar kwa mama A, na anavyopenda Kulia lia.
Kosa kubwa watakalifanya CCM safari hii ni kumpitisha Makamba. Ubaya hatatufanyia sisi Wana Bumbuli ila hao hao maCcm wenyewe.Chama kikimtaka wadau hamna namna.