MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mwanaume wa Kikurya akiongea huwa anamaanisha, hatanii na anayekuambia unatakiwa uwe nae makini sana asije kukufanya Bucha muda wowote tu.View attachment 1888315
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Fisi zimeanza kuparuranaView attachment 1888315
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Ni njaa inamsumbua.Huyu naye kuchwani ana nini?
Wabunge wanatakiwa kuisimamia na kuhoji serikali, siyo kukubaliana nayo.
Mheshimiwa rais ameshatekeleza wajibu wake wa kuliokoa taifa kwa kuleta chanjo Kama nchi nyingi duniani inavyofanya, kutoa mzizi wa fitina kwa kujua kwamba Kuna watu hawaikubari na wengine wanahitaji kasema itakuwa ya hiyari. Inatosha jamani tuache kubwatukabwatuka, kila mtu atapima mwenyeweWanazika habari za Gazeti la Uhuru
Dunia ipo kasi sana!Hahahaaaa,nyungu imepitwa na wakatiππ
hiv alipiwa kura au aliibia kuraVuta nikuvute ndani ya ccm bado inaendelea ambapo naibu waziri wa ujenzi na uchukuzi, mwita waitara amemtaka askofu gwajima asifanye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za watanzania.
Naibu waziri waitara amesema, kama askofu gwajima hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Wote wasakatonge.Mamluki na msaliti ndani ya CCM ni WHYTARA
Akiwa hajalewa macho anaonekana amekewa,sasa akilewa macho huwa anakuwaje? 2025 akaunge juhudi ACT wazalendo CCM/CHADEMA hana chakeMwita akishalewa basi anaropoka tu, CCM hawana jukwaa la kuzungumzia mambo yao?
Linahusianaje na ujenzi? Badala ya kutupa mrejesho wa miamala ya mesa imeshajenga km ngapi za lami, mumetuona hamnazo sioView attachment 1888315
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Si mumpige risasi tu mbona kwa Tundu Lissu mliweza?View attachment 1888315
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Huyo bwege alikuwa analewa pombe za kuomba kule banana hadi anajikojolea.Huyu naye kuchwani ana nini?
Wabunge wanatakiwa kuisimamia na kuhoji serikali, siyo kukubaliana nayo.
Umuhimu wa KATIBA MPYA unaonekana.View attachment 1888315
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Haaππππ€£π€£πππ€£π€£πππ
View attachment 1888315
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Waitara acha kujipendekeza kwajima ni mbunge si serikali anayohaki ya kuwa na msimamo wake kuhusu chanjo ya korona, wewe kama sehemu ya serikali ndiye unaetakiwa uheshimu maamuzi ya baraza la mawaziri mwache kwajima aelezee msimamo wake kama mbunge na kama mchungaji.View attachment 1888315