nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Kule kwenye uwaziri wa ulinzi hatupelekagi wachambaji walopokaji na wagaagaaupwa. Nafikiri umenielewa, hiyo sio wizara ya mdomo domo au siasa ngumu ngumuSiri ya Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mwita Waitara kumshambulia Askofu Gwajima juu ya msimamo wake juu ya Chanjo ya UVIKO 19 sasa zimepatikana...
Atalewa pombe ataanza tuna grunet 7225 tuna mizinga 2254 .......QUI QUI QUIWizara ya ULINZI huwezi peleka yule mlevi
Kama alivyokuwa Mwinyi?Waziri awe mzanzibar,Ni zamu yetu Sasa kama ilivyokua zamu ya Sukuma Gang.
Naaaaaaam.Kama alivyokuwa Mwinyi?
SawaNaaaaaaam.
Ateuliwe tu hakuna namna maana CCM kumejaa uozo tupuSiri ya Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mwita Waitara kumshambulia Askofu Gwajima juu ya msimamo wake juu ya Chanjo ya UVIKO 19 sasa zimepatikana.
Habari zilizotufikia ni kuwa kuna tetesi kuwa Mh. Rais Samia Suluhu ana mpango wiki ijayo either kujaza nafasi ya Waziri wa Ulinzi iliyoachwa wazi baada ya kifo cha Mh. Kwandikwa au pia kupitia sababu hiyo Mh. Rais anaweza fanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri.
Hivyo baada ya Mwita Waitara kupata fununu hizo akaona atatoka vipi basi akaona style ya kujipendekeza kwa Mama Samia ni kumponda Askofu Gwajima na Humphrey Polepole.
Sasa majibu kama mbinu yake itamsaidia au la tutayapata wiki ijayo.
Huyu naye duuWaitara Njaa Haikakaa Ikaisha, Nyambafuuu, Miitu ya Kufika Bei
Katika nchi iliyostaarabika mwenye kutoa hoja fulani ya serikali kwa wananchi hususan yenye kuleta mkanyiko fulani ni msemaji mkuu wa serikali.Ikiwa kila mmoja atamshambulia Gwajima inaonekana tuna serikali isiyo na msimamo.Suala la Gwajima anaweza kulielezea ama msemaji mkuu wa serikali au katibu mkuu wa ccm.Mwanaume wa Kikurya akiongea huwa anamaanisha, hatanii na anayekuambia unatakiwa uwe nae makini sana asije kukufanya Bucha muda wowote tu.