Ametumwa kumwondoa Mwiba Heche.Hahaha nilidhani kaiba kura, kumbe anafanya mkutano?!
Yeye ni waziri ana visingizio vingi, muacheni atumie cheo yatamkuta yaliyomkuta Jaji Warioba bunda, labda kama zama hizi sheria haikatazi.
Ukonga kaogopa kabisa au nia yake ni kupambana na Heche?