G Gellangi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 2,782 Reaction score 3,018 Jul 5, 2020 #21 Nanye Go said: Hahaha nilidhani kaiba kura, kumbe anafanya mkutano?! Yeye ni waziri ana visingizio vingi, muacheni atumie cheo yatamkuta yaliyomkuta Jaji Warioba bunda, labda kama zama hizi sheria haikatazi. Ukonga kaogopa kabisa au nia yake ni kupambana na Heche? Click to expand... Ametumwa kumwondoa Mwiba Heche.
Nanye Go said: Hahaha nilidhani kaiba kura, kumbe anafanya mkutano?! Yeye ni waziri ana visingizio vingi, muacheni atumie cheo yatamkuta yaliyomkuta Jaji Warioba bunda, labda kama zama hizi sheria haikatazi. Ukonga kaogopa kabisa au nia yake ni kupambana na Heche? Click to expand... Ametumwa kumwondoa Mwiba Heche.
N nokwenumuya JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 820 Reaction score 2,896 Jul 5, 2020 Thread starter #22 mwananyaso said: So what?,acha uzwazwa Click to expand... Pole Mh.
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Jul 5, 2020 #23 Gellangi said: Ametumwa kumwondoa Mwiba Heche. Click to expand... Hahaha utasikia amefanya mengi kuwasaidia Tarime ndio maana kachaguliwa, wakati jimbo lake la ukonga kamkimbia yule dada msangi.
Gellangi said: Ametumwa kumwondoa Mwiba Heche. Click to expand... Hahaha utasikia amefanya mengi kuwasaidia Tarime ndio maana kachaguliwa, wakati jimbo lake la ukonga kamkimbia yule dada msangi.