Nashauri ungefuta kwanza wewe huo ujinga wakoKwanini waitara usifiche ujinga wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashauri ungefuta kwanza wewe huo ujinga wakoKwanini waitara usifiche ujinga wako
CHADEMA hawajielewi. Wanafikiri wakijazana kutukana JF ndiyo siasa ya kuchukua nchi. Ngoja waendelee kujifurahishaKosa la Mkurugenzi ni lipi? Yeye anajuaje kwamba barua Ile ni feki au siyo feki? na ilitoka kwenye chama husika. Kwa mujibu wa sheria na utaratibu meya anapofukuzwa anatakiwa akate rufaa kwa Waziri mwenye dhamana na Serikali za mitaa siyo Mkurugenzi. Waziri atapitia na kujiridhisha ukweli wa mambo ulivyo kabla hajatoa maamuzi yake. Kwahiyo, Naibu Waziri yupo sahihi kabisa.
CHADEMA wanapaswa kujitafakari sana, wanaweza kudhani adui yao ni CCM kumbe yupo ndani mwao wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
siongei na mbwaNashauri ungefuta kwanza wewe huo ujinga wako
Ni Waziri wa hovyo sanaItamcost,na asipopitishwa kugombea ubunge atachanganyikiwa.Kura za maoni CCM mwaka huu zitaacha madonda makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa zenyewe kama ndo hizo halafu watu waende kupoteza muda wa kupiga kura kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa chama hicho kimemfuta uanachama Boniface Jacob, tayari amepoteza sifa za kuwa Diwani na Meya.
"Nimeiona barua ya Chadema, nimeona barua aliyowajibu Mkurugenzi wa Manispaa, nimesikia saiti ya Mnyika akizungumzia suala hilo, niseme tu kwamba si kazi ya Mkurugenzi kusoma na kuelewa katiba ya Chadema inasemaje, ameshapokea barua ya Chadema na akawajibu kwa maandishi kuridhia maamuzi yao, ameshamaliza kazi yake, wala wasitegemee ataandika batua ya kukanusha, hivyo Jacob si meya tena wa Ubungo.
Kama anaona haikuwa halali aandike barua kwa waziri mwenye dhamana kuomba marejeo, waziri atapitia na kutoa majibu au aende mahakamani," amesema Waitara.
---
"Nimeona Chadema ikikanusha barua aliyoandikiwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwamba kwa mujibu wa Katiba yao Meya hawezi kuvuliwa uanachama na ngazi ya Kata.
Nimesoma mitandaoni kwamba Mkurugenzi amekiri kupokea barua hiyo kimakosa na ataandika kutengua barua yake. Mimi kama Naibu Waziri TAMISEMI natoa maelekezo kwamba si kazi ya Mkurugenzi kutafsiri Katiba ya Chadema inasemaje.
Kama alipokea barua kutoka ofisi ya kata, haikua kazi yake kuchunguza kama Jacob anaweza kuvuliwa uwanachama na ngazi ya kata ama lah. Kwahiyo Mkurugenzi hana sababu ya kuifuta barua yake. Yeye ameshafanya kazi yake imetosha, hivyo Jacob sio Meya tena wa Ubungo"
Mwita Waitara, Naibu Waziri TAMISEMI
05/05/2020,
quet a good message and worth to read. Nadhani hii ifanyike kwa kila mtanzania na tutapata majibu ya nini kifanyike kama wananchi wazalendoYaani kuna watu walizaliwa kabisa ili kulitumbukiza Taifa kwenye visasi na chuki. Hawakuletwa kwa jambo lolote lingine. Sijui ndani ya mioyo yao wanawaza nini sijui.
Waitara, siku moja jifungie chumbanii peke yako tafakari sana maneno na maamuzi yako. Kaa kimya hata saa nzima ukiwa peke yako kabisa chambua madhara unayoweza/unayotaka kulitumbukiza Taifa wewe as a person.
Unavuruga huko ccm ulikoenda, unavurga Taifa, hebu jiulize dhamira ya wewe kuzaliwa Tanzania alafu muombe Mungu wako yoyote unaemuamini akupe wepesi.
kila nikiwalinganisha wanasiasa wetu na wa mataifa mengine mfano kenya napata kigugumizi jamani . . . .Siasa zenyewe kama ndo hizo halafu watu waende kupoteza muda wa kupiga kura kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangese sana hao wendawazimu.Na baada ya kuyafanya hayo then kesho yake watawaambia wananchi tuwe wazalendo kwa taifa letu,tutangulize maslahi ya nchi mbele,maendeleo hayana chama.
Anahitaji kupimwa akili.Hapo hapo Jiwe anasema mumuombee.. Tena anakashifu viongozi wa dini..
Spika anadai barua ya Mnyika kuwa mwambe sio mwanachama wa CHADEMA iambatanishwe na Muhtasari wa kikao kilic kilichomvua uanachama ,DED Ubungo barua fake bila Muhktasari wa kikao kilichombua Uanachama Meya anamfukuza Meya .Tanzania hiyo.Nauliza tu, maana kuna jamaa yangu kaniuliza.
Kama hivyo, Makonda the akili kubwas lemutuz akasome!
teh teh teh teh!
- CCM 2020 -
Nyinyi ccm ni watu wa hovyo sana. Hamna sifa hata moja yenye mashiko ya kuitawala nchi yetu. Huu ndiyo ukweli mchungu kwenu. Huwa mnajali sana maslahi yenu binafsi na ya chama chenu, kuliko maslahi mapana ya Taifa.
Ni kakikundi hivi ka watu wachache wapigaji, wanafiki, wasomi feki, wezi, mafisadi, majangili, wachawi, nk kanakoitawala Tanzania kimabavu. Ipo siku tu mwisho wenu utafika.