Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

CHADEMA hawajielewi. Wanafikiri wakijazana kutukana JF ndiyo siasa ya kuchukua nchi. Ngoja waendelee kujifurahisha
 
Kwa kauli yake inafuta sheria ya kufanya udanganyifu wa nyaraka,na kuhalalisha kugushi.
 
Siasa zenyewe kama ndo hizo halafu watu waende kupoteza muda wa kupiga kura kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
quet a good message and worth to read. Nadhani hii ifanyike kwa kila mtanzania na tutapata majibu ya nini kifanyike kama wananchi wazalendo
 
Na baada ya kuyafanya hayo then kesho yake watawaambia wananchi tuwe wazalendo kwa taifa letu,tutangulize maslahi ya nchi mbele,maendeleo hayana chama.
Wangese sana hao wendawazimu.
 
Hawa wapuuzi ndio wale hata ukiwakuta wamepata ajali na wamekwama ndani unachukua tu kibiriti na kulitia moto gari lenyewe wateketee kabisa humo. Hata mbwa ana thamani kuliko hawa wendawazimu.
 
hapo mimi ndo huwa mnanilazimisha kwa nguvu kuwa sapoti wapinzani, kwa sababu kuna wakati naona mnataka kuvuruga amani ya nchi kwa ulevi tu madaraka
 
Aisee! Nimeaminj kweli hii ni awamu ya ukichaa kichaa.
 
Nauliza tu, maana kuna jamaa yangu kaniuliza.

Kama hivyo, Makonda the akili kubwas lemutuz akasome!

teh teh teh teh!


- CCM 2020 -
 
Nauliza tu, maana kuna jamaa yangu kaniuliza.

Kama hivyo, Makonda the akili kubwas lemutuz akasome!

teh teh teh teh!


- CCM 2020 -
Spika anadai barua ya Mnyika kuwa mwambe sio mwanachama wa CHADEMA iambatanishwe na Muhtasari wa kikao kilic kilichomvua uanachama ,DED Ubungo barua fake bila Muhktasari wa kikao kilichombua Uanachama Meya anamfukuza Meya .Tanzania hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi ccm ni watu wa hovyo sana. Hamna sifa hata moja yenye mashiko ya kuitawala nchi yetu. Huu ndiyo ukweli mchungu kwenu. Huwa mnajali sana maslahi yenu binafsi na ya chama chenu, kuliko maslahi mapana ya Taifa.

Ni kakikundi hivi ka watu wachache wapigaji, wanafiki, wasomi feki, wezi, mafisadi, majangili, wachawi, nk kanakoitawala Tanzania kimabavu. Ipo siku tu mwisho wenu utafika.
 

Dua la kuku!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…