Mwita Waitara: Huwezi kushindana na wakenya kwa bandari ya Dar es Salaam, option ni kwenda Bagamoyo

Mwita Waitara: Huwezi kushindana na wakenya kwa bandari ya Dar es Salaam, option ni kwenda Bagamoyo

Aliyemuelewa huyu Mh anisaidie...
Je, bandari ni warehouse or godown la kuhifadhia mizigo?
Je, efficiency ya bandari inapimwa kwa holding space?
Je, diversification ie Tanga, Mtwara and DSM, is not better than concentration ie Mombasa?
What is the trend of waiting ships outside DSM port relative to Mombasa, due to small space for docking?

Politics will kill me!
Mkuu anaifurahisha ile remote yenye channel ya Bagamoyo
 
Nauliza tena hii nchi naweza kuinunua kwA Shilingi ngapi?🙁
 
Back
Top Bottom