Pre GE2025 Mwita Waitara: Kuna uwepo wa hujuma zinazofanywa na viongozi wa CCM Jimboni kwangu ili ni sishinde Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amedai kuwa kuna uwepo wa hujuma zinazofanywa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimboni kwake zenye nia ya kuhakikisha hashindi kiti cha ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Soma Pia:
Ameeleza kuwa ipo siku atawataja watu hao wanaomfanyia figisu huku akibainisha kuwa watu hao wakiwemo baadhi ya watia nia wa Ibunge kupitia CCM wamekuwa wakiwatumia vijana kufanya kampeni za kumkataa mbunge wao.
Your browser is not able to display this video.
 
Utulie tuu si uliaminishwa kuwa huko ndiko kuna mema a mkapewa vipande vya fedha sasa kelele za nini?
 
Si mlisema wapinzani wanajiteka wenyewe? Ila mkitekwa nyie ndio mnataka tuamini kuna watekaji?
 
Huyu mbunge tangu aingine nachokumbuka aliwahi kulia mbele ya camera tu.

Kajihujumu mwenyewe, kuna kitu gani cha maana alichofanya jimboni kwake ?

Ukonga walimchoka, Tarime wamemchoka, atafute kwengine

Anastuka mwishoni kabisa kampeni zinapokaribia
 
K
Kwni kna katiba yao isemayo ukiwa mbunge wa ccm mahali hairuhsiwi kupata mpinzani!! Hata hivo, uwaklishi wake haujawahi kuwa wenye tija wkt wwte - ni tararira bungeni tu. Anapotezea taifa muda na kula kodi zetu kw kelele zake, hana tija
 
Tarehe 5/2/2025. Samia suluhu aliwaambia wana CCM huko Dodoma "mwaka huu nitawaletea wagombea wano kubalika."

Akimaanisha waliopo sasa hawakubaliki. Sijui huyu yeye anafikiri kwa kutumia figo au Maini?

Najua tunatofautiana uelewa, lakini anapaswa ajiongeze kidogo tu ataona tatizo haliko huko ila kuna timu zimeandaliwa kutoka juu.
 
Safi sana,walipokuwa wanatekwa wanachadema mlikuwa mnachekelea sasa mnatekana wenyewe kwa wenyewe,hao waliotekwa ningefarijika sana maiti zao ziokotwe ziwani. Washenzi wakubwa nyie.
 
Watched wafu wazikane wenyewe
 
Huyo mpumbavu kwl, Ana hati miliki na Hilo Jimbo? Tena nitashangaa wakimrudisha
 
Wapinzani waliofika bei enzi za JIWE na wakabebwa kwenye Ubunge hatorudi hata mmoja...SISIEMU ina wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…