Uchaguzi 2020 Mwita Waitara: Nafasi zenyewe chache Ubunge wa nini?

Uchaguzi 2020 Mwita Waitara: Nafasi zenyewe chache Ubunge wa nini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?"

East Africa Radio

My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mbowe amekula vichwa Sana kwenye minada ya wabunge
 
Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?"

East Africa Radio

My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau.

Maendeleo hayana vyama!
Yeye mwenyewe analijua hilo,alipokuwa Dar jimboni kwake kuna wanatarime walikuwa Tarime wanapiga jalamba na maandalizi ya kugombea, alivyobebwa na Magu akajiona anaweza kwenda popote akagombea kuliko aliowakuta
 
Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?"

East Africa Radio

My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau.

Maendeleo hayana vyama!
Chama chs Jiwe, hakuna cha ukubwa wowote.. ukubwa ni watu kuwa huru kugombea nafasi wanazozitaka.
 
Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?"

East Africa Radio

My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau.

Maendeleo hayana vyama!
Kuna dalili za kuliwa kichwa nini? Hamwoni mwenzake Jecha wameshapita naye? Atajuta kurubuniwa!
 
Arudi kivule akaendelee na u bodaboda . ....imeshindikana hakuna namna Mura
 
sehemu nisiyoijua vizuri ni jimbo la Mtwara mjini.sijui kama yule Murji anarudi tena ulingo ama ameamua kunyoosha mikono
 
Kama wachache.. basi waachie ngazi.. Mkulu aje atubebe wa humu JF.. tuwaonyeshe kazi zinafanyikaje..😀
 
Back
Top Bottom