Uchaguzi 2020 Mwita Waitara: Nafasi zenyewe chache Ubunge wa nini?

Uchaguzi 2020 Mwita Waitara: Nafasi zenyewe chache Ubunge wa nini?

Kwani na wewe si ni kada mtiifu tu kwa nini usitie nia?

Yaani umenena.. eeeeeh shabiki wa humu JF.. huko walipo sijulikani wala sijawahi kufika.. siku nikijaribu.. najua JPM.. atataka niwe juu juu apate nondo zangu vizuri pakuche 😀
 
Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?"

East Africa Radio

My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau.

Maendeleo hayana vyama!
Nimeshindwa kukuelewa mkuu, ufafanuzi zaidi
 
Back
Top Bottom