johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona yeye muda wote yuko Tarime akitembeza hongo??Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?"
East Africa Radio
My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau.
Maendeleo hayana vyama!
Yeye mwenyewe analijua hilo,alipokuwa Dar jimboni kwake kuna wanatarime walikuwa Tarime wanapiga jalamba na maandalizi ya kugombea, alivyobebwa na Magu akajiona anaweza kwenda popote akagombea kuliko aliowakutaNaibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?"
East Africa Radio
My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau.
Maendeleo hayana vyama!
Chama chs Jiwe, hakuna cha ukubwa wowote.. ukubwa ni watu kuwa huru kugombea nafasi wanazozitaka.Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?"
East Africa Radio
My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau.
Maendeleo hayana vyama!
Unatarajia kumzalia mtoto gani?Mbowe amekula vichwa Sana kwenye minada ya wabunge
kichomiz amemzalia sinduna mwezi huuUnatarajia kumzalia mtoto gani?
Kama madada poa[emoji209]Amebaki kujiuza tu hana lolote
Kuna dalili za kuliwa kichwa nini? Hamwoni mwenzake Jecha wameshapita naye? Atajuta kurubuniwa!Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?"
East Africa Radio
My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau.
Maendeleo hayana vyama!
Asubiri ukuu wa wilaya.. Sasa hivi taifa zima linagombea ubunge.. Kila mtu anataka ubunge.Kuna dalili za kuliwa kichwa nini? Hamwoni mwenzake Jecha wameshapita naye? Atajuta kurubuniwa!
Halina hata aibuKama madada poa[emoji209]
Kwani na wewe si ni kada mtiifu tu kwa nini usitie nia?Kama wachache.. basi waachie ngazi.. Mkulu aje atubebe wa humu JF.. tuwaonyeshe kazi zinafanyikaje..[emoji3]