mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Na mimacho ilojaa mzio wa mipombeWeee hajalia wakati anaongea?? Jamaa linapenda kulia kama toto
Kwani kuwa mbunge kunategemea kura za wananchi au ni maagizo toka juu?Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza kuwa bado ana nia ya kurejea Bungeni na hana mpango wa kuachia jimbo lake.
Hahaha mume wa LUCY ana matatizo sana. Aliinuliwa na chadema halafu akaja kuwatukana alisahau wakati si mileleNa mimacho ilojaa mzio wa mipombe
Namshauri arudi nyumbani aliko toroka,akimwagwa kotekote,bila shaka nyumbani itabidi iwe porini sasa kama ilivyo kwa mchungaji mtoro pia.Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza kuwa bado ana nia ya kurejea Bungeni na hana mpango wa kuachia jimbo lake.
Kupita bila kupingwaKwani kuwa mbunge kunategemea kura za wananchi au ni maagizo toka juu?
🤣 🤣 🤣Weee hajalia wakati anaongea?? Jamaa linapenda kulia kama toto