Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameitaka Serikali kuweka sheria kali kwa wabadhirifu wa fedha za umma ikiwemo kuwanyonga mpaka kufa ili kudumisha nidhamu.
Ametoa ushauri huo Bungeni, wakati wa mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Ametoa ushauri huo Bungeni, wakati wa mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2026/2027.