Mwita Waitara: Tunyonge watu wanaoiba fedha za Watanzania

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameitaka Serikali kuweka sheria kali kwa wabadhirifu wa fedha za umma ikiwemo kuwanyonga mpaka kufa ili kudumisha nidhamu.

Ametoa ushauri huo Bungeni, wakati wa mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Your browser is not able to display this video.
 
Kabla ya kunyonyongana tufuate kwanza Sheria
Waitara halonaga akili Hilo dubwasha
 
Akili MAVI. Why not other adhabu. Haya majitu ya CCM yameshaona kuua kama kitu cha kawaida. Yanajivunia kuua
 
Tuanze na wale waliojiweka madarakani, kwa sababu ndio wezi number one!
 
Upo na genge la majizi halafu unasema unyonge majizi,yataanza kukunyonga wewe kwanza.
 
Ni nani atafunga paka kengele? Maana watawala wote, ambao ndiyo wenye maamuzi, ni wezi, mafisadi papa
 
Ccm itakosa viongozi hiyo sheria ikipita, na rais anaweza kuwa wa kwanza kuhukumiwa
 
Unataka Samuya anyongwe?
Maana huyu ndo tutaanza nae.

Chawa hawapigi makofi...😁
 
Nakubaliana naye ila kwanza tupate katiba mpya ya warioba kisha tuanze na waliopo kwenye mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…