Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Kama nilivyoelezea mwite mdada yeyote unaemtaka humu Jf akiitika tu mfanooo Shunie akasema yes mr au yes mkuu basi Zama PM ukamalizane nae.

Yaani huo mwitikio ni kama Ruksa ya kuzama Pm yake ukiona kimya ujue No.


Mi namwita wangu Akiitika tu mjue niko nae PM namalizana Nae .


Jolie Jolie..

[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115]
We umemuita Jolie mmmh ngoja Hazard aone
 
Back
Top Bottom