Sa mbona amenikimbia tenaWe si unajuwa ulivyo kwake ako hajielewi vile
Ndiwooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baki na woga wako[emoji23]Hahaha
Woooi, wacha niwe wa ajabu tuu
Khaaah. Huyu anataka kaka ale vya nyumbani
MmmhPoa kaka. Sakayo anafaa kaka mdondokee tuu
Ohooo
Mimi pia naonaHuko hakuingiliki
Pole sana shemu!Yani sakayo ananisononesha kabisa.
EwaaaaaBaki na woga wako[emoji23]
HahahaMimi pia naona
Ebu mwambie aache hayo mambo yake.Unachoogopa nini kwani young anameza watu
We umemuita Jolie mmmh ngoja Hazard aoneKama nilivyoelezea mwite mdada yeyote unaemtaka humu Jf akiitika tu mfanooo Shunie akasema yes mr au yes mkuu basi Zama PM ukamalizane nae.
Yaani huo mwitikio ni kama Ruksa ya kuzama Pm yake ukiona kimya ujue No.
Mi namwita wangu Akiitika tu mjue niko nae PM namalizana Nae .
Jolie Jolie..
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115]
Waogopa nini shem,hebu njoo basi tusalimiane vizuri [emoji23]Lakini si unajua naogopa aki
Ehee, yani natamani unipe huo ubuyu ilikuwaje mpka akapata ban.Bonny na mbalizi
Hazard kapiga kimya japo alishaona kiroho upandeWe umemuita Jolie mmmh ngoja Hazard aone
Asante sana, [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Karibu pm
Yaani mie huwa naogopaga tuu aki, hata sijui nini sababuWaogopa nini shem,hebu njoo basi tusalimiane vizuri [emoji23]
Hahahahq
Wale wanangu mama zao wamekimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuniwekea wale watoto sijawaelewa mie