Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Kunyimana tena?Unataka kuninyima nini lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunyimana tena?Unataka kuninyima nini lakini
Akikujibu niiteHujamtaja jina naniliu ndio nani
HahahhahahHuna adabu wewe mie babu yako muone kwanza
Unakulwa kibingwa enheeHahaha
Hakuna kukulwa kifalaaa
Nipo sana tu sema tunapishana pishanaUpooo
Kwahiyo unavonikunjia-ga ndita tunapoandaa vikao kumbe kamba tu zile sio!Hahaha
Siku zote mie mpole aki
hahahaNikute tuu nabembea jf na sura yangu ya baba!!
Unapotaka kwenda huko undugu utaishaKama Paw mtu mmoja mzuri sana simjui lakini tunavyochat kama namjua na itabidi tu nimjue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm ni kapole sina vurugu jamani kama wangu wangu tuYeye mwwmenyeww kk security suma jkt mmasai na mbwa mkali haitaj ulinz hata
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa young
[emoji4][emoji4][emoji4]Hahaha
Siku zote mie mpole aki
HahahaHahahaa
Hapo tu , moyo wangu mwaaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ndo walivyo hawa watu jamanii!! Wacha pm yangu ijifunge tuuu
mmmh mbona hata ile ya mwanzo kabla hujaweka hii ni kama zinafanana?Sasa mkuu achana na hiyo avatar fake usije ukaja kunitangaza kabisa mm ni cheusi kibonge karibu sana sasa pm
Jamani[emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe
Ko mie ndo naniliu eeeh
aseee [emoji3][emoji3]Kushangilia hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Nakufwa mieee! Katibu wewe ni wa kuniita naniliu?!
Sijamkula mtu mimi, labda ndotoni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na young ulipigwa mahela mengi sana ila watu wanajiweza sasa hayo mahela yote ulimkula au ulimkula kwa picha fake nacheka kisambaa
HahahaKweli dada hana shida kaka wa watu wala sio msumbufu kabisa nachat nae pm na hajawahi hata siku moja kuniambia shunie naomba no yako