Ndio mana nakupenda mmPopote ulipo nipo hadi utanichoka sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiishie kusema ewaa, njoo PM [emoji23]
Hahaha young upo kama mm waweke tu au wasambaziane pm ni jambo jema piaMimi zangu mtu akiweka aweke tu, atajua mwenyewe
Unaniharibia mbebez wanguNini tena shem?
Ahaha,yani nakwambia nikikumbuka mwenyewe najichekea tu mana nilizidiwa kete.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ukiongea hivyo tu mm mbavu sina
Kaka bonny usiniambie kazi niliyoifanya haina maanaMahela enhee? Yasubr hapo hapo
Tutambeee!? mahela tuyatoe wapi sisi watoto wa makapuku tuHahaha
Nasikia mna mahelaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] liwalo na liweHata ikiwa ya mjomba, ndio yako hivyo... Mimi nishaamua hata siogopi tena
Hahaha mbalizi acha wizi unataka kumwibia nini ndugu yanguUsinifanyie hivo nitaumwa mimi
Na yeye muambieMm sipendi hivyo jamani muwe sawa
Kweli kabisa humu kama kucheza biko tuHumu kuna watu wa kila namna
HahahahaBora ungeenda church tu
Nahisi kama undugu wako hautakuwa wa wemaKhaaaaaah!, wasi wasi wako nini hasa?
[emoji125][emoji125][emoji125]Hahaha Miller huo mguno sio wa heri
Jaman wadada wa jf mna makusudi sana,nimeweka bango langu nime kaa nasubiria nani atakuja lakini kimya,kwa hyo wote humu mmeolewa.Ambaye hajaolewa aje hapa,ila simaanishi kuwa natufuta mke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naongea ukweli ungekuwa fisi ningesemaEti sio fisi, una vituko sana wewe mwanamke
Utakosa bahati shauri yakoWe mfuate tuu aki, wacha tukutane jukwaani tuu
aseee naliona hilo chiefHumu kuna watu wa kila namna
Usinifanyie hivyo nitakufwa mie[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ww unaweza mbona!
hahahhaaa