mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Wasi wasi wako tuNahisi kama undugu wako hautakuwa wa wema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasi wasi wako tuNahisi kama undugu wako hautakuwa wa wema
Ok chukua hii nauli tukutane DS Hotel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisubiri kuitwa na wakati siitwi bora nijilete tu
Cc SakayoHahaha kwahiyo mpo karibu sasa utamjuaje hujui anafanaje hujui no yake mwambie kama ananiruhusu nikutumie basi no
Akiitika unafanyaje?Shualinaa
HahahaHahhahahah yaan kama nakuona nimewekewa bandiko niwe sipo online utanitafuta kila sehemu
EwaaaaMama mzaa chema
Nataka nikuletee machungwa na mafenesi[emoji23] [emoji23]Ipi kwa mfano?!
Ndio inavyotakiwa kwa nini usumbue mtu ili iweje ajute hata kwa nini amekutafutaHushindwi wewe, ila mimi sipendi kusumbua watu ndio maana
Sijikatai walaa!! Unajua watu wa humuuu!! Comments zao tuu nitakufwaUnajikataa kwahiyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu
Ww hata sikuogopi, najua pa kukukamataHahhahhaha utajutraaa kuingia
Sio kihivyooooHahaha kwani sikuwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekukumbusha wapi hukoHahahhahahahahahhaaaaaaaaaaaa, nimecheka kama mwehu. Kauli yako imenikumbusha mbaaali sana
Hahahah kwa nini sasa unamuonea hurumaAlafu unajua kuna muda namuonea huruma
Basi karibu ndugu yanguWasi wasi wako tu
Sasa si uendelee kumfata?! Nikiwa na shida nitakutumaSasa nisingemfata tungejuaje zile habari halafu unakumbuka nilikwaambia young ananisumbua kila akiniona nimfate pm sijui ana tatizo gani ukaniambia nimfate na kukutana na zile mambo
Sio kwako ww SakayoHahaha
Acha uongo
Uzuri wake me huwa siuzi we nenda badoo tu huko utawapata wa kuwapaOk chukua hii nauli tukutane DS HotelView attachment 745090
Ebu akujeCc Sakayo
Usiumwe jamaniUsinifanyie hivo nitaumwa mimi