HahahaIle siku ya ban nilikaa nikafikiriaaaaa nikahisi huenda ww ni mod, siku za mbeleni nikaja kujua kumbe na ww ulikula ban, ila hatukuonewa kweli?
Ebu weka na picha basiNapagawa mwenzio huku natetemeka mapigo ya moyo yanaenda upesi upesi
Hahahaaa
Vizuri sanaSijamwambia nimi
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kwenye magroup yao utashangaa tu huko ids tu zinavyoibuka
EwaaaaaKunywa jamani haya hapa
MwenyeweMfyuuuu nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona ananitisha yuko na nini halafu anaingia kwa kubeepSasa si kaondokaa!! Hajajibu wala! Kama alivyofanya ile siku
HahahahIle niliazima tu
HahahaHahaha
Mie wala sitaki aombe, nshamsamehe
WoyooooooooooSawa
Yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikikumbuka ile siku nacheka sana
Usijali mwayaNapagawa mwenzio huku natetemeka mapigo ya moyo yanaenda upesi upesi
Hahahaaa
Hahahah yaan nimeizoea hiiNakumbuka uliniambia niitoe
AlijuajeSijamwambia nimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mapicha yangu album nzima kila nikijaribu kukutumia milango imefungwa
SawaKweli sitanii
Sakayo namtumia za kwake na ww za kwako, we si uliniomba ile ya kichwa na ya mmasaiKwahiyo unamtumia sakayo ndio anitumie au
Teh teh.. Sasa kwann umewaitikia wengiZipo nyingi jamani