Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
HahahaIle siku ya ban nilikaa nikafikiriaaaaa nikahisi huenda ww ni mod, siku za mbeleni nikaja kujua kumbe na ww ulikula ban, ila hatukuonewa kweli?
Eti mie mod??? Yaani nilikula ya siku mbili na nyie moja! Walinionea sana