Yaan nina safari nafikiria kutoka hata sijui natoka vipiYa kufa mtu
Hahhhaha kidogo tuNaona umekazia
Sio sawa piga kelele nilipwe nikupunguzie kidogo na weweDaaah
Sawa bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hhhahha ndio yale ya T jana katuambia ilitokea love connect huko mtu anatafuta mchumba wamepeaa no kumbe ni ndugu wapo kwenye group la ukoo WhatsApp na uchumba uliishia hapo hapo
HahahaHhhahha ndio yale ya T jana katuambia ilitokea love connect huko mtu anatafuta mchumba wamepeaa no kumbe ni ndugu wapo kwenye group la ukoo WhatsApp na uchumba uliishia hapo hapo
Wee kumbe unamfahamuHousegirl ana story ka za Miss natafuta vilee!
UsiendeYaan nina safari nafikiria kutoka hata sijui natoka vipi
Sio kwa cheko lile jamaniiHahhhaha kidogo tu
Duuh. Mna raha huko nyie.Huku ilinyesha jana mchana, kwa sasa ni dalili tu na baridi, nimevaa koti hapa toka asubuhi.
Arusha pia nasikia tangu ianze jana hadi muda huu inamwaga tu
EwaaaaaSio sawa piga kelele nilipwe nikupunguzie kidogo na wewe
Sana tuuWee kumbe unamfahamu
Tatizo baridi kushika maji ni tabu tupuDuuh. Mna raha huko nyie.
Duuh. Pole sana mdogo wangu.Tatizo baridi kushika maji ni tabu tupu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Labda na kuona hata hujaanzishiwa kauzi ka kukusifiwa sifiwa hata kama ni kiuongo uongo. [emoji85].
CC. Davet
Ahsante Dada yanguDuuh. Pole sana mdogo wangu.
Ila utazowea tu.
Hahahaaa. Ipo siku mdogo wangu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukweli mchungu kabisa, ngoja nipambane na hali yangu tu
Mmmmhhh, labda huku nje ya JF [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Ipo siku mdogo wangu.