Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Hhhahha ndio yale ya T jana katuambia ilitokea love connect huko mtu anatafuta mchumba wamepeaa no kumbe ni ndugu wapo kwenye group la ukoo WhatsApp na uchumba uliishia hapo hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha
Na ndugu huwa damu zinavutana ujue, sasa hapo undungu ndo ulifanya wapendane!!
 
Hahahaaa. Labda na kuona hata hujaanzishiwa kauzi ka kukusifiwa sifiwa hata kama ni kiuongo uongo. [emoji85].

CC. Davet
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukweli mchungu kabisa, ngoja nipambane na hali yangu tu
 
Back
Top Bottom