Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Hahahaa. Nimekumbuka na ule wa asubuhi njema.

Ila haziwi na yale Masham sham sasa. [emoji85] [emoji85]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahah!! Eti masham sham sasa wewe siunamuona huyo mtu mwenyewe msiri siri unadhani itakua kihivyo basi?
 
Hahahaa. Nimekumbuka na ule wa asubuhi njema.

Ila haziwi na yale Masham sham sasa. [emoji85] [emoji85]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sikufikiria kama tunguli zingeteka jukwaa kiasi hicho, hata tushaacha kuwishiana asubuhi nja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahahaa. Umeonaeee. Kesho nitaenda kumtakia asubuhi njema Davet.
 
Back
Top Bottom