Nipooo mkuuu japo sikuwepoiTangu ubadili ufunguo sikujua kama ni wewe ukizingatia Shunie aliniambia ushasepa ila bahati nikakubamba sehemu nikajua wewe ndio wewe, nikabaki mdomo wazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajatuma toka mwaka juziWooooozaaaaaa...nambie shemu ushatuma ndizi nyingine au mpaka tuombe
Hahaha[emoji35][emoji35]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu ubadili ufunguo sikujua kama ni wewe ukizingatia Shunie aliniambia ushasepa ila bahati nikakubamba sehemu nikajua wewe ndio wewe, nikabaki mdomo wazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unachekaa utafukiriii mazuriiii ....watakuja kukutoa mifano ya ajabu ajabu na matukio kama ya nandy[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mvua shunie hawezi kwenda ubungoooWooooozaaaaaa...nambie shemu ushatuma ndizi nyingine au mpaka tuombe
Baba D kwahiyo umeshaachiwa sasa hivi huko ulipotekwaNipooo mkuuu japo sikuwepoi
Nitakufungukia pekee yako sehemu wala usipate shaka kwa hiloUsijali. Nasubiria siku ukipata nafasi Insha Allah.
Hahhahahha hiyo ya nandy haitatokea jamaniUnachekaa utafukiriii mazuriiii ....watakuja kukutoa mifano ya ajabu ajabu na matukio kama ya nandy[emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe atazifata kuna ka kijakazii kakeeeKuna mvua shunie hawezi kwenda ubungooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mvua shunie hawezi kwenda ubungooo
Koh koh koh. Naomba maji rafiki.[emoji35][emoji35]
Nipo nimejaaa teleeee ...kwan kuna habarii ganiiiBaba D kwahiyo umeshaachiwa sasa hivi huko ulipotekwa
Nataka na samaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe atazifata kuna ka kijakazii kakeee
HahahaHahahah basi siendi dada kwahiyo hauniamini jamani nimecheka nipo na koti langu hapa kitandani
Walahiii nakwambiaaaHahhahahha hiyo ya nandy haitatokea jamani
Hijar, huwa ninakuheshimu na kukupenda thus why umebadili vazi lkn bado ninakutambua kwa sauti na mwandiko, nami nimebadili shati lkn najua utanitambua kwa sauti na mwandiko.Hahahaaaa. Usisahau kunigea na mie hayo majibu rafiki.