Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Jesca Wa Chattle mbona hukuji,mwenzio tu moyo twangu tumepondekapondeka kama tuviazi tulivyotwangwa,najua Mzee hajaribiwi lkn nakuangalia,naku-check nasema hiiiiiiiiiiii
Come on baby,the beautiful Angel from the White House (state house)
Kama unahtaji zeze,gitaa,madiwani,wabunge,biscuits au pipi tutanunua...I am waiting for you Baby!
 
Back
Top Bottom