Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Ngoja nkufungulie jamaniiIko waz kwan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nkufungulie jamaniiIko waz kwan
Acha nsubr pm yakoNgoja nkufungulie jamanii
Oops, yani nadhani hunishindi mimi nimekumis sana,tatizo vyuma havitaki kulainika ndio mana niko busy kutafuta grease.Young jamani nakumiss mm nani amekuteka hivyo
Hahaha
Yaani nimekumbuka mbali saaaana
Hahahah niache umekumbuka ujumbe wa jana mshenga mie mfyuuuuu zakoKama nakuona vileeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumtoe tubaki na mzee wa busara pekeeKhaaaa
Mwanaume hata kope hapepesi
Jamani shemu!Mimi nipo shem, ni matumaini yangu kuwa uko poa kabisa, mambo yamekuwa mengi ndio mana unaona tunapishana tu.
Sema mm na yeye huwa tupo pm sana nisipomuona majukwaani namtafuta huko namwambia aliyekuteka akuachie basi tukuoneYaani
Kumbe unaweza mmisi asiyejulikanaa!! Kiukweli nilimmiss saaaana
Mungu atasaidia young yatakuwa mepesiMimi nipo shem, ni matumaini yangu kuwa uko poa kabisa, mambo yamekuwa mengi ndio mana unaona tunapishana tu.
Hahahaha nacheka na yangu mieUnacheka nn dogo bahat hazj mara mbili
JamaniAcha nsubr pm yako
Ngoja nkufungulie jamanii
WoyoooooooooAcha nsubr pm yako
HahahaHahahah niache umekumbuka ujumbe wa jana mshenga mie mfyuuuuu zako
C ukifungua?Jamani
Jamani vyuma vinahusiana na nini lakini kwa kukumiss usinifanyie hivyo inabidi tukubaliane na hali tuOops, yani nadhani hunishindi mimi nimekumis sana,tatizo vyuma havitaki kulainika ndio mana niko busy kutafuta grease.
Ila usijali mambo yakiwa vizuri utaniona mpka utanichoka.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumtoe tubaki na mzee wa busara pekee
Nshirikishe bas aiseeHahahaha nacheka na yangu mie
Kaka habari yakoC ukifungua?
Sasa kwa mie ndo nasota!Sema mm na yeye huwa tupo pm sana nisipomuona majukwaani namtafuta huko namwambia aliyekuteka akuachie basi tukuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niulizie nitalipwa kazi ya ushenga niliyofanyaHahaha
Yaani wewe! Sawa mshenga! Ulikuja na uso wa kauzu
Nani wakuniteka mimi, nimejiteka mwenyewe.Hunishindi mm jamani nani sijui amemteka