Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Tunataka tumjue halafu si unajuwa mm ndio mlinzi wako ukionekana tu jukwaa la wakubwa nakuja kusemaMngh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka tumjue halafu si unajuwa mm ndio mlinzi wako ukionekana tu jukwaa la wakubwa nakuja kusemaMngh!
Weewe tu na roho yakoHahaha
Nipe huo moyo hebu
Huku mvua tuuMambo ni bombardia..
Za huko ulipo?
NDIOMie huyooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nini sasaMngh!
Sema kweliYaani kila nikigeuka huku mawe, kule mawe ,mtaniua khaa!
Hahahahha ulijua kakimbiaKumbe upoo
Mngh!Mmmh
Nitajitahidi lakini daaahMzoee tu hana shida young sio fisi huyo
Mwanamke una misimamo kama alqaeeda
Ana roho ya baba akeeHahaha
Mamangu huwa ananiambia kila siku, we ungetakiwa uwe mwanaume
Ata aina ya maigizo yake pia sio mazuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo si mwigizaji tu kama kina angelina jolie...tofauti yeye anapenda kuigiza akiwa na mavazi yakuzaliwa
EwaaaaaMajengo
MhKausha bas na ww chaaah!
Nijambo jema hilo shem mvua ni kitu kizuriHuku mvua tuu
Yani nimecheka, sakayo muoga sana[emoji23] [emoji23]Nikute tuu nabembea jf na sura yangu ya baba!!
Yaani unanikimbia sio?Hapa dawa ni kuleft kwa muda hasira ziwapungue kwanza maana mngh!
safiHatuna roho mbaya hata!
Mwanaume tena mmmh?Hahaha
Mamangu huwa ananiambia kila siku, we ungetakiwa uwe mwanaume
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada acha wanitundike au kunisambaza maisha mengine yataendelea kama yanavyoendelea ya shoga angu miss natafuta kama hamna kilichotokea vile