Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Usicheke, mazuri!?
Hahahhaa mbalizi acha nicheke umenifurahisha sana umenikumbusha kipindi flani nipo mmu nachat na Antonio Guzman basi story mara kapata ban

Kurudi nikamuuliza ilikuwaje umepata ban akaniambia eti nimeambia napotosha mjadala nikamwambia mbona mm sijapewa si tungepewa wote akaniambia shunie nakuogopa mm wewe utakuwa mod tu kwa nini wanipe mm na story napiga na wewe halafu wewe wasikupe
 
Back
Top Bottom