Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Hahahhaa mbalizi acha nicheke umenifurahisha sana umenikumbuka kipindi flani nipo mmu nachat na Antonio Guzman basi story mara kapata ban

Kurudi nikamuuliza ilikuwaje umepata ban akaniambia eti nimeambia napotosha mjadala nikamwambia mbona mm sijapewa si tungepewa wote akaniambia shunie nakuogopa mm wewe utakuwa mod tu kwa nini wanipe mm na story napiga na wewe halafu wewe wasikupe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom