Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Well said.Wanachuo wote, wameambiwa waende shule ili tuone covid-19 kama itawaathiri sana ya kiufupi ni mbuzi wa kafara,
Wakikaa huko chuo wiki mbili tatu na hali ikawa poa basi wadogo zao wataruhusiwa kuendelea na masomo,
Poleni sana kwa kuwatoeni ninyi kama jaribio.
lecture.....Mambo ni safi ndio natoka Lecturer hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kitakuwa chuo cha lumumba hikiMambo ni safi ndio natoka Lecturer hapa
[emoji120][emoji120][emoji120]Safi sana