George Bush
Member
- Sep 8, 2024
- 59
- 42
Nimestushwa na utitiri huu wa Makada wa CCM ambao wanajitokeza kuchukua fomu hasa za Ubunge Majimboni katika siku ya kwanza ya Mchakato huo!Wapo ambao unaweza kusema walikuwa wamekata tamaa kabisa ya kufanya Siasa lakini this Timu wameibukwa pasipo kutarajia!
Kwa upande mwingine hii inaonyesha uwepo wa afya ya Demokrasia ndani ya Chama cha Mapinduzi lakini pia inaweza kuwa ni "kiu" watu wengi kuutaka "Ubunge" kwa UDI na UVUMBA!Wasiwasi wangu Je makada hawa wasipopata fursa ndani ya Chama cha Mapinduzi watakuwa na uvumilivu wa kusubilia mwaka 2030 au wanaweza kutumia fursa hii "kuchochora" kwenda Vyama vya Upinzani kama Chauma au ACT - Wazalendo?
Maslahi ya Wabunge ndio sababu kubwa ya watu wengi zaidi kupigana vikumbo hivi just kwenye siku ya kwanza tu ya mchakato?Itafika siku kila Mtanzania atataka kuwa Mbunge na Sijui itakuwaje?
Baada ya miaka kumi ya Mzee Agrey mwanri ya Ubunge wa SIHA Bado katika umri wake wa miaka 70+ anataka tena?
IPO siku Ubunge ndani ya CCM utaleta mpasuko mkubwa ndani ya Chama!Tuwe makini na hii situation,haina afya kwa upande mwingine kwa Ulinzi na Umoja wa Chama changu!
Naamini viongozi wangu wa Kitaifa wa Chama wameliona hili na wataleta watu kweli wenye kiu,hamu na akili mpya ya kuitumikia Tanzania!
Mama kasema"This time WANAWAKE,Vijana na Walemavu ndio kipaumbele cha Chama!
Kama Makatibu Wakuu,Marc na Madc na mpaka Marc Wastaafu wanautaka Ubunge nani atabaki mitaani?/Ofisini?
Hii sio trend nzuri kwa Taifa!