Nimestushwa na utitiri huu wa Makada wa CCM ambao wanajitokeza kuchukua fomu hasa za Ubunge Majimboni katika siku ya kwanza ya Mchakato huo!Wapo ambao unaweza kusema walikuwa wamekata tamaa kabisa ya kufanya Siasa lakini this Timu wameibukwa pasipo kutarajia!
Kwa upande mwingine hii inaonyesha uwepo wa afya ya Demokrasia ndani ya Chama cha Mapinduzi lakini pia inaweza kuwa ni "kiu" watu wengi kuutaka "Ubunge" kwa UDI na UVUMBA!Wasiwasi wangu Je makada hawa wasipopata fursa ndani ya Chama cha Mapinduzi watakuwa na uvumilivu wa kusubilia mwaka 2030 au wanaweza kutumia fursa hii "kuchochora" kwenda Vyama vya Upinzani kama Chauma au ACT - Wazalendo?
Maslahi ya Wabunge ndio sababu kubwa ya watu wengi zaidi kupigana vikumbo hivi just kwenye siku ya kwanza tu ya mchakato?Itafika siku kila Mtanzania atataka kuwa Mbunge na Sijui itakuwaje?
Baada ya miaka kumi ya Mzee Agrey mwanri ya Ubunge wa SIHA Bado katika umri wake wa miaka 70+ anataka tena?
IPO siku Ubunge ndani ya CCM utaleta mpasuko mkubwa ndani ya Chama!Tuwe makini na hii situation,haina afya kwa upande mwingine kwa Ulinzi na Umoja wa Chama changu!
Naamini viongozi wangu wa Kitaifa wa Chama wameliona hili na wataleta watu kweli wenye kiu,hamu na akili mpya ya kuitumikia Tanzania!
Mama kasema"This time WANAWAKE,Vijana na Walemavu ndio kipaumbele cha Chama!
Kama Makatibu Wakuu,Marc na Madc na mpaka Marc Wastaafu wanautaka Ubunge nani atabaki mitaani?/Ofisini?
Hii sio trend nzuri kwa Taifa!
Wangefanya hivyo kwa fomu zote hata ile ya kijani zaidiNimestushwa na utitiri huu wa Makada wa CCM ambao wanajitokeza kuchukua fomu hasa za Ubunge Majimboni katika siku ya kwanza ya Mchakato huo!Wapo ambao unaweza kusema walikuwa wamekata tamaa kabisa ya kufanya Siasa lakini this Timu wameibukwa pasipo kutarajia!
Kwa upande mwingine hii inaonyesha uwepo wa afya ya Demokrasia ndani ya Chama cha Mapinduzi lakini pia inaweza kuwa ni "kiu" watu wengi kuutaka "Ubunge" kwa UDI na UVUMBA!Wasiwasi wangu Je makada hawa wasipopata fursa ndani ya Chama cha Mapinduzi watakuwa na uvumilivu wa kusubilia mwaka 2030 au wanaweza kutumia fursa hii "kuchochora" kwenda Vyama vya Upinzani kama Chauma au ACT - Wazalendo?
Maslahi ya Wabunge ndio sababu kubwa ya watu wengi zaidi kupigana vikumbo hivi just kwenye siku ya kwanza tu ya mchakato?Itafika siku kila Mtanzania atataka kuwa Mbunge na Sijui itakuwaje?
Baada ya miaka kumi ya Mzee Agrey mwanri ya Ubunge wa SIHA Bado katika umri wake wa miaka 70+ anataka tena?
IPO siku Ubunge ndani ya CCM utaleta mpasuko mkubwa ndani ya Chama!Tuwe makini na hii situation,haina afya kwa upande mwingine kwa Ulinzi na Umoja wa Chama changu!
Naamini viongozi wangu wa Kitaifa wa Chama wameliona hili na wataleta watu kweli wenye kiu,hamu na akili mpya ya kuitumikia Tanzania!
Mama kasema"This time WANAWAKE,Vijana na Walemavu ndio kipaumbele cha Chama!
Kama Makatibu Wakuu,Marc na Madc na mpaka Marc Wastaafu wanautaka Ubunge nani atabaki mitaani?/Ofisini?
Hii sio trend nzuri kwa Taifa!
Ccm fomu hukataliwi muhimu una kadi na hela ya fomuNimestushwa na utitiri huu wa Makada wa CCM ambao wanajitokeza kuchukua fomu hasa za Ubunge Majimboni katika siku ya kwanza ya Mchakato huo!Wapo ambao unaweza kusema walikuwa wamekata tamaa kabisa ya kufanya Siasa lakini this Timu wameibukwa pasipo kutarajia!
Kwa upande mwingine hii inaonyesha uwepo wa afya ya Demokrasia ndani ya Chama cha Mapinduzi lakini pia inaweza kuwa ni "kiu" watu wengi kuutaka "Ubunge" kwa UDI na UVUMBA!Wasiwasi wangu Je makada hawa wasipopata fursa ndani ya Chama cha Mapinduzi watakuwa na uvumilivu wa kusubilia mwaka 2030 au wanaweza kutumia fursa hii "kuchochora" kwenda Vyama vya Upinzani kama Chauma au ACT - Wazalendo?
Maslahi ya Wabunge ndio sababu kubwa ya watu wengi zaidi kupigana vikumbo hivi just kwenye siku ya kwanza tu ya mchakato?Itafika siku kila Mtanzania atataka kuwa Mbunge na Sijui itakuwaje?
Baada ya miaka kumi ya Mzee Agrey mwanri ya Ubunge wa SIHA Bado katika umri wake wa miaka 70+ anataka tena?
IPO siku Ubunge ndani ya CCM utaleta mpasuko mkubwa ndani ya Chama!Tuwe makini na hii situation,haina afya kwa upande mwingine kwa Ulinzi na Umoja wa Chama changu!
Naamini viongozi wangu wa Kitaifa wa Chama wameliona hili na wataleta watu kweli wenye kiu,hamu na akili mpya ya kuitumikia Tanzania!
Mama kasema"This time WANAWAKE,Vijana na Walemavu ndio kipaumbele cha Chama!
Kama Makatibu Wakuu,Marc na Madc na mpaka Marc Wastaafu wanautaka Ubunge nani atabaki mitaani?/Ofisini?
Hii sio trend nzuri kwa Taifa!
And this is the only truth.Yote hayo ni kwa sababu hakuna uchaguzi huru nawa haki.
Kwamba ukiweza kupenya ndani ya chama wananchi hata kama wanakuona hufai taasisi ya uraisi itakupitisha kupitia dola.
Hapo ndipo tulipofika
CCM imekuwa imara miaka tangu kuumbwa kwake na itaendelea kuwa imara hata baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015. Atakayeshindwa kwenye kura za maoni na akaamua kwenda kutafuta fursa kwingine, sawa. Chama kinamtakia kila la heri, lakini wakati anaondoka ajiulize mbona walioondoka awali akina Esther Bulaya, Mzee Sumaye, Lazaro Nyalandu kutaja wachache kwanini wamerudi CCM?Nimestushwa na utitiri huu wa Makada wa CCM ambao wanajitokeza kuchukua fomu hasa za Ubunge Majimboni katika siku ya kwanza ya Mchakato huo!Wapo ambao unaweza kusema walikuwa wamekata tamaa kabisa ya kufanya Siasa lakini this Timu wameibukwa pasipo kutarajia!
Kwa upande mwingine hii inaonyesha uwepo wa afya ya Demokrasia ndani ya Chama cha Mapinduzi lakini pia inaweza kuwa ni "kiu" watu wengi kuutaka "Ubunge" kwa UDI na UVUMBA!Wasiwasi wangu Je makada hawa wasipopata fursa ndani ya Chama cha Mapinduzi watakuwa na uvumilivu wa kusubilia mwaka 2030 au wanaweza kutumia fursa hii "kuchochora" kwenda Vyama vya Upinzani kama Chauma au ACT - Wazalendo?
Maslahi ya Wabunge ndio sababu kubwa ya watu wengi zaidi kupigana vikumbo hivi just kwenye siku ya kwanza tu ya mchakato?Itafika siku kila Mtanzania atataka kuwa Mbunge na Sijui itakuwaje?
Baada ya miaka kumi ya Mzee Agrey mwanri ya Ubunge wa SIHA Bado katika umri wake wa miaka 70+ anataka tena?
IPO siku Ubunge ndani ya CCM utaleta mpasuko mkubwa ndani ya Chama!Tuwe makini na hii situation,haina afya kwa upande mwingine kwa Ulinzi na Umoja wa Chama changu!
Naamini viongozi wangu wa Kitaifa wa Chama wameliona hili na wataleta watu kweli wenye kiu,hamu na akili mpya ya kuitumikia Tanzania!
Mama kasema"This time WANAWAKE,Vijana na Walemavu ndio kipaumbele cha Chama!
Kama Makatibu Wakuu,Marc na Madc na mpaka Marc Wastaafu wanautaka Ubunge nani atabaki mitaani?/Ofisini?
Hii sio trend nzuri kwa Taifa!
KabisaAs long as utasifia utawala na kuwaponda upinzani then unakuwa umefuzu vigezo vya kuwa mbunge.
Wanakubalika au wanajitekenya mkuu? Kwa uhuni unaofanyika kwa so called uchaguzi ni bora mara sabini wapitishane ndani ya chama then waendelee na ubunge na kuachana na upotevu wa pesa bila sababu yoyote.Huwezi kutofautisha nguvu ya chama na mwitikio wa makada wake kutia nia. Ni wazi kukubalika kwa CCM ndio kunawavutia wengi kutafuta uteuzi wa kugombea kupitia CCM.
Kila thread unayofungua unaelezea ya ki-Kalumekenge. Kinachofanya watu wakimbilie CCM ni ule uwezo wake wa kupora kura. Ni binadamu wachache sana wasiopenda short-cut. Hata mimi ningekuwa mwanasiasa mbona ningejifanya kuimba ''mama mama'' ili nitimize ndoto zangu? Ila hii ni dalili nzuri sana sana kwa sababu watu wanaoongozwa na tamaa na siyo itikadi wanapokusanyika wengi sehemu moja, ni lazima kutakuwa na anguko.Nimestushwa na utitiri huu wa Makada wa CCM ambao wanajitokeza kuchukua fomu hasa za Ubunge Majimboni katika siku ya kwanza ya Mchakato huo!Wapo ambao unaweza kusema walikuwa wamekata tamaa kabisa ya kufanya Siasa lakini this Timu wameibukwa pasipo kutarajia!