Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Samahani,
Naomba kuuliza ukiwa una ka-kiosk kako, na umwemwajiri muuza ka-kiosk hako... akawa wateja wakinunua vitu akirudisha chenji arudisha zaidi kwa wateja wake... Na wateja wanachukua wanaendelea wanarudi na siku nyingine hivyo hivyo mpaka kaduka kako kanatereka...
Nani wakumfuata... muuza kiosk chako? au mteja?
I mean:
Muuza duka... ni mtumishi wa umma
Mteja ndio:... huyo RA
Pamoja na post zote... Lazima nisema RA has been amoung the most successfully and intelligent businessman in Tanzania.
Tungekuwa na wakina RA wengi Tanzania uchumi wa nchi ukiuwa imara na uwekezaji wetu kwenye nchi za Maziwa makuu na SADC ungekuwa mkubwa sana.
Angalia biashara anazozifanya, ndio zile wabongo waoga na wanadhani zinatakiwa kufanywa na makampuni ya Ulaya tu.
Issue ya Kasoro alizonazo kama anazo zinatokana na mfumo wenu wa kipumbavu... ni kazi kwenu kutumia Bunge kuziba mianya.
Nevertheless,,, tafuteni wanasiasa au watumishi wauma wanaomfaidisha huyo RA na sio RA.
Asubuhi njema, mchana mwema jioni njema na usiku mwema kutegemea ulipo
Nafuta ajira kwa jamaa, ili nikaweke sawa mambo madogo madogo lakini biashara yetu itaimarika especially baada ya kukuwa na corporate governance... that is the only thing lacking in his group of companies...
Ngoja nimtafute... naomba contacts... naweza lamba dume...
Zungu Pule,
Kwa suala la rushwa huwezi kumpata RA, by the way he is smart, angekuwa mtu wa kuingia kichwa kichwa mungeshampeleka mahakamani,,, hamumpeleki kwa sababu gani?
Still admire the guy,,, anafanya biashara zenye akili! mengine ni uzembe wenu na serikali yenu... maana munapenda siasa sana.
Nafuta ajira kwa jamaa, ili nikaweke sawa mambo madogo madogo lakini biashara yetu itaimarika especially baada ya kukuwa na corporate governance... that is the only thing lacking in his group of companies...
Ngoja nimtafute... naomba contacts... naweza lamba dume...
Kasheshe,Mwanakijiji,..
..hivi Rostam Azizi ametokea wapi?
..ameanza na biashara ipi mpaka kujijenga kufikia hapo alipo?
..hivi sasa Rostam ana biashara gani halali, na zisizo halali?
..how much does he worth?
Kweli, tunaibiwa sana humu kwenye maofisi ya umma... lakini kelele nyingi zimekuwa zikielekezwa kwa wachache. Si ajabu waswahili walisema ... avumaye baharini...Ukisoma vizuri report ya CAG utagundua kwamba asilimia kubwa ya watumishi wa umma waliopo kwenye sehemu za manunuzi au wanaoidhinisha matumizi ya fedha ni wezi... kwa mfano kuna wizara moja imenunua photocopier 3 kwa mili karibia 60....
Ndio maana mimi naona ni uhuni kufikiria mtu mmoja.
Kasheshe,
..shares za Vodacom alinunua ngapi na kwa kiasi gani?
..pia kampuni yake ya ujenzi aliianzisha lini kwa mtaji kiasi gani, ilifanya projects zipi, na sasa anafanya project gani?
Ukisoma vizuri report ya CAG utagundua kwamba asilimia kubwa ya watumishi wa umma waliopo kwenye sehemu za manunuzi au wanaoidhinisha matumizi ya fedha ni wezi... kwa mfano kuna wizara moja imenunua photocopier 3 kwa mili karibia 60....
Ndio maana mimi naona ni uhuni kufikiria mtu mmoja.
Watu walioathirika kutokana na milipuko ya mabomu kwenye ghala la silaha katika kitongoji cha Mbagala nje kidogo ya Dar Es Salaam, bado wanasubiri misaada iwafikie.
Serikali ya Tanzania imeahidi kulipa fidia kwa watu wote walioathirika na milipuko hiyo, ambayo ilijeruhi mamia ya watu na kuua 20 juma lililopita.
Lakini baadhi ya wakazi wa maeneo hayo bado hawajapata msaada wa kutoksha wa malazi na chakula kwa mujibu wa Vicky Ntetema. Serikali imeunda tume ya kuchunguza chanzo cha mlipuko huo.
Wakati baadhi ya familia zikiwa zimepokea msaada wa dharura yakiwemo mahema, magodoro na chakula, watu walioko umbali wa kilometa moja kutoka eneo la tukio wanalazimika kulala kwenye mabaki ya nyumba zao zilizobomoka.
Tukio hilo lilizua hofu miongoni mwa wakazi wa Dar Es Salaam wakifikiri kumetokea shambulio jingine la kigaidi kama ilivyokuwa katika ubalozi wa Marekani mwaka 1998 jijini Dar Es Salaam.
Source: BBCSwahili.com | Habari | Milipuko Tanzania: Misaada yachelewa
ni kwamba mabaki ya skeletons yaliyookotwa kwenye ghala la kambi ndiyo yaliyothibitisha kuwa wanajeshi watano walikufa hivyo si mtoni kama ulivyoquote. ila kuhusu mtoni ni kwamba watoto wengi wameripotiwa na mashuhuda kuwa wamezama humo na mkuu wa mkoa amesema kazi ya utafutaji inaendelea....Kinachonishangaza mimi ni kwamba tunaambiwa nyumba 750 zimeteketezwa na mabomu ilhali watu 23 tu ndio waliofariki! Wanajeshi waliokufa ni sita tu tena miili yao imeokotwa kwenye mto. Pale kwenye ghala la silaha palipolipuka inamaana hapakuwa na mtu au ndio hio miili ilirushwa hadi mtoni? Kuna watoto mpaka leo wazazi wao hawajajitokeza kuja kuwachukua na wanaonekana kwenye tv kila siku, kulikoni? Tutadanganyana mpaka lini kuhusu hii idadi ya waliopoteza maisha katika hili tukio. Ni mzembe gani huyo anayelindwa hivi? Tunaficha ukweli ili wakubwa waendelee kula hata wakivurunda.