Lakiniw wale wanaojitolea maisha yao tutawaitaje?
Neno hilo hilo hutumika
Mhanga ninavyojua mimi ni muathirika, kiingereza victim.
Nime confirm hapa kwenye kamusi project
Search Results for 'mhanga' | Matokeo ya Utafutaji kwa 'mhanga' | The Kamusi Project
mhanga , pl wahanga { English: victim, pl victims }
noun 1/2 [ photos: upload ]
QUOTE]
BLURAY,
Najiunga na Kyakya kuhoji neno hili.
Umetoa rejeo la kwamba umethibitisha kutoka Kamusiproject.
Ni kweli kwamba kamusi project wameeleza hivyo, lakini si lazima wawe sahihi,.
Kwa mtazamo wangu, waathirika si wahanga.
Wahanga ni watu wanaojitolea kupoteza maisha yao ili kuleta maafa kwa wengine.
Tunapaswa kwauliza, mtu ajitoae mhanga yeye ni mhanga, au yule anyeathiriwa ndiye mhanga?

Wewe unabishana na kamusi sasa.Hakuna sababu kwa nini vyote visiwe sawa.
Anayejitolea kupoteza maisha yake si muhanga, bali "anajitolea muhanga" muhanga in this sense is self sacrifice, which is a different meaning.
Muhanga pia victim kama ilivyoelezwa na kamusi hapo juu.
Wewe unabishana na kamusi sasa......
.
BLURAY,
Sibishani chochote.
Labda umesahau kwamba KAMUSI huandaliwa na watu kama mimi na wewe. KAMUSI SI MSAHAFU.
Sijui unaonaje rahisi kuikataa maana yangu niliyotoa, kisha kung'ang'ania kwamba kilichoko kwenye KAMUSI ndicho sawa.
Lukuvi ni reflection ya aliyemteua, kumkataa na kumbakisha aliyemteua kutasaidiaje ?
lol.. lukuvi hamnazo kweriNa Lukuvi akawataka wakazi wa Mbagala kuzoea milipuko kama wenzao wa Kipawa, wanaoishi jirani na Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere, walivyozoea kelele za ndege.