Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!


Bila shaka na Hamadi wa CUF ni miongoni mwao walionunuliwa maana swali alilomuuliza waziri mkuu bungeni linaashiria hivyo.
"Mheshimiwa waziri mkuu, naomba kuuliza. Katika kutekeleza sera ya utawala bora, je ni halali kwa mmiliki wa chombo cha habari kutumia chombo chake kwa ajili ya kuwashutumu watu wengine,” aliuliza Rashidi na kutaka kujua msimamo wa serikali (Source= Mwananchi).
Mi naona CUF wamenunuliwa akiwemo Lipumba mwenyewe. Mtakumbuka Lipumba alikuwa pia anaunga mkono ununuzi wa mitambo chakavu ya Dowans. Mpo hapo wana JF? Hii vita dhidi ya ufisadi ndugu zangu kwa kibinadamu ni ngumu mno lakini hakuna kisichowezekana kwa MUNGU. MUNGU ameshaona mateso yetu na hakika sasa yuko kazini kuwasambaratisha hawa wanaosababisha wananchi wateseke huku wao wakilundika mipesa kwenye akaunti zao zikiwa hazina hata kazi ya kufanya huku wenzao wakiamka hawajui hata kama watapata mlo siku hiyo.
 
Muhanga tu huyo.Ashaona wanataka kumfunga.

Hee masalia wewe umesalimika hiyo mvua ya mwaka mmoja?

Back to the issue,
Bravo Ole, walau umeweza kutoa tongo tongo na kutenganisha pumba na mchele. Uzalendo jamani, uzalendo, watu kama Sofia ni wa kuogopwa kama ukoma ikibidi hata wapopolewe mawe!. How can you? how.. jamani, mbona hatumuoni akisimama kuwasemea wamama wanao tembea kilomita 5 kufata ndoo ya maji?
 

Gembe,
I think this is the right approach, we need to pressurize Mengi awasilishe ushahidi na vielelezo vingine kuthibitisha madai yake. Na nadhani hii ndiyo kazi ya JF. Kama anao ushahidi basi sio akae nao kwa manufaa yake kwani hili swala la ufisadi si mali ya Mengi au mtaji wa kuwachafua wengine.

Ni muhimu tumshinikize mtoa habari awasilishe vielelezo na ushahidi katika mamlaka husika kama kweli nia yake ilikuwa ni njema.
 
Kwanini msimshinikize Mwendesha Mashtaka Mkuu kuufuata ushahidi kwa Mengi ili aufanyie kazi.... Mengi hana ulazima wa kuwapa ushahidi wao kama wanautaka ndiyo kama hivyo wanaenda mahakamani. Wakitaka kumlazimisha ni kwa kwenda mahakamani. Njia ya kumshinikiza ni mahakama, ama sivyo?
 

Mwanakijiji heshima zote mkuu, lakini katika hili nakataa kwani Mengi hajatofautiana na mtu yeyote anayeamua kuchukua sheria mikononi mwake. Mnakuja na argument ya Dr Slaa kuwatraja mafisadi lakini kuna tofauti moja kubwa na muhimu. Dr Slaa hupeleka ishu zote bungeni katika chombo halali na kuwasilisha hoja zake na pia hakuifanya personal attack na aliwasilisha ushahidi. My problem with Mengi is that he has made it personal na ana history ya kulumbana na wafanyabiashara wenye asili ya kiasia.
Just like ulivyomshikia bango Pinda ajiuzulu baada ya kusema eti wauaji wa maalbino wauwawe, naomba uonyeshe objectivity ikija kwa Mengi. He has taken on to be judge, jury and executioner. Alafu this is not an honest mistake or well intentioned, it is an ego issue, kwamba awe maarufu apendwe na watu. Unajua Mwanakijiji sikurupuki na ninafahamu fika kwa nini Mengi amefanya alichofanya, and I respect his choice but let us not make him a hero because he is a manipulative ego centric man. And worse anaendelea kumfagilia JK ambaye tunajua ndo chanzo cha yote!
 
Mpaka sasa sijapata ushahidi wa kutosha kuwa Mkapa na JK ni Mafisadi,Hivyo napingana na Mawazo yako Mpaka nitakopothibitishiwa hivyo mahakamani

loooooooooooooooooooooh du dududud oooh ooh hiyo oohh ooooh haaaaa!!!1

itagundulika nakutuhibitishwa karne ijayo! itakuwa kama kuvumbua fuvu la zinjathropus
 

Tena Mengi kuwa na list kama ile, kunawafanya mafisadi wengine kujificha, lakini tukianzia na JK, nadhani ishu inakuwa kama kupuliza RUNGU chumbani, kila mtu papa, nyangumi, dagaa, kambare, ngisi, kinadu, baobo, sijui samaki gani sijui! kila kona, kila taasisi, kila kiongozi fisadi wote fagia fagia!

Kama JF ni kiiwe cha critical thinkers bsi Mengi afutwe uanachama!

Mengi fedha anayo, mawakili atawapata, tofauti na mjomba wangu kule Nzega! angechukua nafasi hii kufanya kitu fulani!
 

Nimemwona Ole, lakini ni ITV pekee ndiyo waliomtoa, TVs nyingine zimenyuti. Inaoneka ni timu ileile ya Mengi et al Vs RA et al
 

Guess what...hawezi kufanya hivyo kwani itakuwa ni sawasawa na kukata tawi alilolikalia...kwani HUENDA na yeye ana madudu yake.
 
Nimemwona Ole, lakini ni ITV pekee ndiyo waliomtoa, TVs nyingine zimenyuti. Inaoneka ni timu ileile ya Mengi et al Vs RA et al

Hata TV nyingine zikimyuti, uzuri ni kwamba ITV huwa ina watazamaji wengi kuliko TV zote! kwahiyo ujumbe umefika kwa sana tu!
 


KWA NJIA HII UFISADI HAUTAISHA...KAMA MENGI KAWACHAFUA BASI UNAAMINI KABISA KUWA KINA RA NA WENZAKE NI WASAFI, NA KUWA KINA MWAKYEMBE NA TUME YAKE NI WAONGO, NA KUWA WAPELELEZI WA UK (SFO nadhani) NI WAONGO, NA KAGODA NI WAKWELI, NA PIA DOWANS WANAONEWA, RICHMOND NI HAKI YAO KUTUPA UMEME, NA PIA UTAKUA UNAAMINI KABISA KUWA WATANZANIA NI WATU WA MUNYONYWA DAIMA...

Ahsante Nashukuru!
 

Hiyo analogy ya kupuliza RUNGU chumbani imenivunja mbavu! Lakini we need to turn an entirely new chapter na si kuendekeza madhambi na kuwa cynical eti ni fisadi lakini si fisadi mkubwa kama aliowataja. That is very cynical and also untrue, mwizi ni mwizi, a cheat is a cheat. Whether you cheated on your taxes or you cheated BoT you are still a cheat.
I believe that Mengi's wealth and aura is in a large way mythological, na wafanyabiashara wenzake wengi wanajua hilo. He plays his cards well and for that I truly salute him but I will never stand up na kumtetea eti ni shujaa, he has done nothing so far .. standing up na kutaja watanzania wenye asili ya kiasia kama mafisadi is just populism nothing more.
Kama Mengi anataka ku-address ishu ya ufisadi nadhani ni wewe Waberoya ulizungumzia kwamba tatizo liko katika system nzima from top to bottom. And the problem started with the politicians like JK and Lowassa, and then spread to businessmen who took advantage. So the solution siyo tu kumlaani na kumhukumu Rostam even though he deserves to sit in prison, but to ensure that the next government is not CCM. I would give kudos to Mengi if he would say that JK ndo anawalea mafisadi maana wamemfikisha madarakani. Now that would make Mengi a hero. Lakini yuko busy trying to please JK tena ukichunguza magazeti yake yote huwa hawamwandiki JK vibaya. MKapa ana personal issues naye but JK haguswi. That is not uzalendo. It is opportunism.
With this I rest my case.
 
enh! muzee wa kuwataja watajee! ucogopee! taja tu sie TUTA JIWE TU sisi aah! unafkiri haya mambo ya upapa? ni hatarii kwa nchi UPAPASI KUFILIA PEMBENI KABISA SIE HATUTAKI TABIA HII, enh! kila siku mnataka tuu aagh! tumechoka kunyonywaa! nasi tuna meno na ndimi nasi tunatakaa TUNYONYE, Enh! mtajuta na sie tunanyonya kweli si maskhara, ETI NI HAWA NA WALE HAKUNAA! NA WEWE UJE WE UMEWAPATAJE WA NJE HALI TULILALA WOTE HUMU NDANI! Mbona wafanana nawe?
 
Ni aibu kubwa sana kwa huyu Sofia, anaiabisha pia serikali japo kuwa ni dampo tayari la takataka. Katika masuala kama haya nafuu angekaa kimya. mbona mwakyembe alivyoandikwa na magazeti ya RA alikaa kimya, au kwa sababu gwiji halikuguswa. au kwa tafsiri yake vyombo vya habari ni TV na redio tu. kazi ipo mwaka huu. mpaka october 2010 patachimbika.
 

Natamani hivyo kaka, natamani niandamane uchi kutoka Gongolamboto, kupitia buguruni, kariakoo, , niingie bibi titi nimalizie IKULU, natamani dunia ijjue mtamsema weeeeeeeeeeeeee RA, kumbe cha mtoto kuna watu wanakula fedha kila kona, rangi zao nyeusi tii kuliko mimi, ! CCM has to GO!!! that is solution!!!!!! tukilala tukiamka hakuna kumsifia Mwakyembe wala Kilango wote wako dampo, wote waondoke madarakani! tumewapa mika 40 inatosha, inatosha, inatosha uuuuuuuuwiiiiii!
 
Waberoya,
Mengi ni mtu mwenye busara,na pia ni lazima anatafakari kabla ya kusema,hata kama ni mimi ningekuwa kwenye position yake ningetafakari kwanza.
Ni wazi kabisa kama alitafakari,basi maswali kama haya ya kwako ni lazima yalijiibua kichwani mwake,maana ndio maana halisi ya kutafakari,kwamba ok,nikisema ama kufanya hivi,je na yeye/wao watafanya nini? Na baada hapo etc etc.
Kwa kutizama issue nzima nimejifunza jambo moja kuwa sisi wabongo tunasubiri wengine wafanyae ama waseme na sisi tuseme aah!ilitakiwa iwe hivi ama vile....Ukiangalia kwa makini,alichofanya Mengi ni right,wakati RA ametoa masaa 48 la sivyo atamchukulia hatua...Nadhani za kisheria,sasa si kila kitu kina mwanzo?Timing pia ni jambo la maana,2010 hii hapa,Kina Slaa waliwataja mafisadi pale mwembe Yanga,yeye akiwa mbunge mheshimiwa,na yote aitosema yameonekana kuwa ya kweli,sasa tatizo liko kwa Mengi ama kwetu na wananchi wengine? Huyo JK unayesema Mengi alitakiwa kumtaja,Slaa alipomtaja ulifanya nini?
Unatambua kuwa makosa haya ya jinai ni kesi ya jamuhuri dhidi ya watuhumiwa hao,sasa ulitaka JK na wengineo wajishtaki?
Kama unataka kuget deep issue ndo inaenda huko,sasa kwasababu wewe ni mwelewa kuliko wananchi wengi wasiokuwa na uwezo wa internet,nilitegemea uelewe hivyo,sasa hao watu kuna watu wanawaogopa na hawatathubutu kuwataja,ok someone kawataja,kazi ya polisi na mahakama ni zipi?
Tusubiri aliyetoa masaa 48 pamoja na aliyefungua kesi.
 

Hivi unadhani wanaomsapoti Mengi wanampenda yeye kama Mengi au wanaafikiana na alichokisema?By the way,mbona hayo alosema Mengi yanaongewa kila siku na akina Dr Slaa,Mwakyembe,Sndeka,Killango,nk?

PUT IT THIS WAY,ANY SANE TANZANIAN HAS TO NURSE A POISONOUS GRUDGE AGAINST ROSTAM&CO.
 
Sofia Simba alitoa tamko la kwake tu, la kuwa tetea mafisadi kwa sababu azazozijua mwenyewe.
Leo Bungeni Waziri Mkuu ametoa tamko rasmi kuwa aliye dhuriwa na tamko la Mengi sheria inampa uhuru wa kuchukua hatua za kisheria ,reading between the lines ana mkana Sofia Simba na tamko lake la kifisadi.
Wakuu hamna mwenye data za waziri wetu Sofia?
 

Lipumba, kwa lugha nyingine za kibantu maana yake ni KABURI!
Huyu jamaa pamoja na uprofesa wake amezoea kubeba mizigo mizito ya watu wanaomlipa.
Kabeba ya CUF sasa anabeba ya wahindi!
 
Thanks a lot MwanaFalsafa1,lakini mbona CV hii nyembamba sana, kaolewa au kapera?Anauhusiano gani na Iddi Simba na KK?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…