Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Kiukweli hali ya watu kujiandikisha ipo chini sana hapa Dar es Salaam.
I'd ya NIDA inatosha kivipi ikiwa hii I'd kuipata tu ni changamoto.Ni kuchezea fedha za Umma tu kama walikuwa na nia njema hicho kitambulisho cha NIDA ni ID Tosha kabisa kwa kupigia kura kama Kenya na Nchi zingine, sisi tunaongozwa na fikrq za kale za akina Babu Wassira unategemea jipya gani?!
Hakuna utashi wa waliojuu wa kufanya Reforms kwenye Tume ya Uchaguzi ikowemo na kufanya National Identity Cards ziwe zinatumika kupiga kura popote pale nchini.I'd ya NIDA inatosha kivipi ikiwa hii I'd kuipata tu ni changamoto.
So ccm ni tatizo .
Si mara ya kwanzaTakwimu zinazotolewa ni za uongo .
Sio kupiga kura tu national id ilitakiwa iwe na taarifa zote mpaka za leseni ya kuendesha gari, tin number n.k, sijui kama tuna wataalamu wa masuala ya teknolojia kwa kweli. Sasa mtu unatembea mfukoni una kitambulisho cha taifa, cha kupiga kura, cha bima, leseni ya udereva n.k wakati taarifa za vitambulisho vyote iliwezekana kabisa kuwekwa kwenye kitambulisho kimojaHakuna utashi wa waliojuu wa kufanya Reforms kwenye Tume ya Uchaguzi ikowemo na kufanya National Identity Cards ziwe zinatumika kupiga kura popote pale nchini.
Kwakweli tukichanganya na Drivers Licence tunakuwa world first.Sio kupiga kura tu national id ilitakiwa iwe na taarifa zote mpaka za leseni ya kuendesha gari, tin number n.k, sijui kama tuna wataalamu wa masuala ya teknolojia kwa kweli. Sasa mtu unatembea mfukoni una kitambulisho cha taifa, cha kupiga kura, cha bima, leseni ya udereva n.k wakati taarifa za vitambulisho vyote iliwezekana kabisa kuwekwa kwenye kitambulisho kimoja