WAZUNGU wamebakisha miaka michache warudi kwenye ujima wa Kitechnology
WACHINA wanakimbia kwa kasi kubwa sana kwenye nyanja muhimu zote β οΈ
Vipi waarabu waliokufanya umjue allah wenyewe unawaweka wapi.WAZUNGU wamebakisha miaka michache warudi kwenye ujima wa Kitechnology
WACHINA wanakimbia kwa kasi kubwa sana kwenye nyanja muhimu zote β οΈ
Ona akili ya huyu mtu. Out of contextVipi waarabu waliokufanya umjue allah wenyewe unawaweka wapi.
I think you ought to mean out of subject.Ona akili ya huyu mtu. Out of context
Aisee! muda wake madarakani unayoyoma tu, hana lolote alilolifanya na kulikamilisha zaidi ya kuanzisha migogoro na kuitafutia ufumbuzi.Trump atajikuta miaka yake ya uongozi yeye ni negotiations tu bila kufanya la maana, muyahudi kashamshika kwenye ndoano
Chizi hiloOna akili ya huyu mtu. Out of context
trump atakuwa ana washauri wajinga au yeye mwenyewe ni mjinga kwenye masuala ya geopolitiksUSA kama asingepigana vita vya hovyo hasa hii ya Iran , angekuwa anaheshima sana ila kajishusha sana . US kaonekana mshamba sana , vita ambayo ameenda na lengo hili ila baadaye yanatokea mengine . Pale venezuela ni masaa tu akamaliza kazi , ila sijui bangi gani zimempeleka pale Iran.
wewe mwenyewe ukipewa zawadi na hao wachina au wamarekani utapiga nazo hadi picha.Tanzania samia anaweza kupewa laptop au simu kama zawadi na alivyo kizimkazi anaweza kuitumia kuwapigia watekaji wake π€
πππ Sio bangi ni nature tu ukitaka kukuumbua Huwa hujui Nini kitakacho kuja kutokea ni sawa na kupata ajali tuUSA kama asingepigana vita vya hovyo hasa hii ya Iran , angekuwa anaheshima sana ila kajishusha sana . US kaonekana mshamba sana , vita ambayo ameenda na lengo hili ila baadaye yanatokea mengine . Pale venezuela ni masaa tu akamaliza kazi , ila sijui bangi gani zimempeleka pale Iran.
ππππTanzania samia anaweza kupewa laptop au simu kama zawadi na alivyo kizimkazi anaweza kuitumia kuwapigia watekaji wake π€
Uraisi na idara sio sehemu ya mama yako mzazi ulipotokea .Ndio maana kombora au mashambulizi yanaweza kupatikana.wewe mwenyewe ukipewa zawadi na hao wachina au wamarekani utapiga nazo hadi picha.
Marais wengi wamepita USA lakini hawakua na shobo na IranUSA kama asingepigana vita vya hovyo hasa hii ya Iran , angekuwa anaheshima sana ila kajishusha sana . US kaonekana mshamba sana , vita ambayo ameenda na lengo hili ila baadaye yanatokea mengine . Pale venezuela ni masaa tu akamaliza kazi , ila sijui bangi gani zimempeleka pale Iran.